Tupe sababu za ndoa yako kutovunjika!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tupe sababu za ndoa yako kutovunjika!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 24, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Yawezekana kuna watu wengi member wanaishi maisha ya shida na ndoa zao na yawezekana sababu ni kujua nini cha kufanya ama kumfanyia mwena wake ukiwa kama
  mpendwa uliebarikiwa kuwa na ndoa ya furaaha mapaka leo bila kutegemea uchawi

  tunakuomba usaidie kutoa michango iliofanya ndoa yako kuwa imara uweze kudumisha na kutunza familia nyingi za wana jf kupitia hilo mungu akaongeze uzao wako kutokana na mahitaji yako..Na wote tuseme

  Amina
   
 2. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hebu anza wewe basi tupate mwanga wa nini cha kuchangia
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Kumtambua mungu na kufanya annayopendaa....sijui mwenzangu
   
 4. J

  Jafar JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  1. Be open (even if you have done a mistake)
  2. Avoid a third part (in your home plans or advise)
  3. Dont hold anything (say your true fillings to your partner)
  4. Plan together (show that she has some input in the overall plan - this is difficult for traditioners or some religions, but by doing that you earn trust)
  5. Use the word "Ours" and not "mine" when expressing any family materials, even if it is true that it is yours.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Kuna kitabu alikiweka Invisible hapa kinaitwa "What Men Dont Want Women to Know" kinaweza kukupa mwangaza wa uliyoyaandika hapo juu. To me kudumu kwa ndoa kunategemea jinsi gani mnavyoendesha maisha ya ndoa. mengineyo ni "theories". Kwa maneno mengine kile kinchodumisha ndoa yangu uenda kikabomoa ndoa ya wanandoa wengine (Masanilo atafafanua zaidi hapa).
   
 6. d

  damn JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  in red, ili kutuliza moto usio wa muhimu unaoweza kuharibu ndoa, si kila kitu cha kusema. I agree with openness but it should be at a certain level. ...mume ni kichwa cha nyumba...kichwani ndiko ubongo unakaa. a man should be wise and careful to live with the woman. You can not be open on all things to your woman.
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kuwa tayari kusameheana na kumaanisha msamaha huo!

  Shida kubwa ni kuwa mkikosana mnaweza kukumbuka kuombana msamaha! Lakini je ni kweli mnauataumbua msamaha mliopeana

  Kuheshimiana
  Mkipenda kwa dhati; mtaheshimiana!
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Baba Enock hicho kitabu bado kipo..........wapi?
   
 9. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Body-heat!
   
 10. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kila ndoa ni unique union so experience za wengine si za kuzingatia sana... sana sana ningeshauri mzingatie makubaliano yenu na kila mmoja ku-play lower profile

  mkimcha mungu ni vizuri lakini utimamu wa akili kabla ya kufanya kila uamuzi ni muhimu sana.... mkishindwa kuvumiliana tazameni watotot 9kama mnao0 na kuwatendea rehema....... hapo ndoa itadumu......
   
 11. Theodora

  Theodora JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 522
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  1. Being true to thyself...
  2. Don't let the sun go down without saying forgive me and make peace
  3. However much you hate losing an argument, you can do it gracefully
  4. Respecting self and each other
  5. Every day being the first day that you met
  6. Remind each other of their good points
   
 12. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  There are some COMPONENTS to be watched carefully regarding this institution called marriage.We can further call them principles coz they guide any marriage what differs is the approach of these principles.It does not matter whether the couple entered their marriage through LOVE or through SEX!Few of the fundamental principles are: HABIT PRINCIPLE-Consider mixing cold water & hot water where you get warm water.Here hot water will loose temperature & cold water will gain temerature and both will acquire a certain NEW temperature!In this situation you have to force yourself to accomodate the habits of ur partner and avoid being too rigid in order for the TWO of you to be one as warm water!!Agree to disagree knowing that things will change gradually with time bearing in mind that your partner was brought like that for years in his/her family so things will not change overnight.
  COMMUNICATION PRINCIPLE-In this modern world where people intermarry,it is difficult for couples to be in one mother tongue anymore!As husband and wife you have to HAVE your own language in which you can be comfortable to communicate with anytime,anywhere,anyhow amongst people including your children.Nowdays alot of people wanapeleka watoto shule za kidhungu kwa hiyo watoto wanakuwa wanaelewa lugha nyingi ambazo nanyi wazazi mnazielewa.Cha msingi ni nyie wanandoa kuanzisha lugha yenu wawili tu ambayo mtakuwa mnaitumia,na hii huanzia wakati wa uchumba kwa wale ambao waliingia through LOVE!
  TRANSPARENCE PRINCIPLE-Here it is important to understand the ROLE of each other in the marriage.Many of us who entered through SEX hatuelewi kuwa uwazi ni muhimu sana tunafikiri ile mihemko ya kingono ndo mambo yote.Tunatakiwa tuwekane sawa mapema kila mtu aelewe majukumu yake kulingana na imani yenu ya kidini na mfumo ambao mtajiwekea.Kwanza kabisa haitakiwi umuoe eti kwa sababu umempa mimba AU uolewe kwa sababu kakupa mimba:mnatakiwa muoane kwa sababu MNAPENDANA!!Mapenzi ndio yawapeleke kwenye ndoa na sio ngono ndo iwapeleke kwenye ndoa.
  Nimeona nifafanue kwa kirefu kidogo coz humu jamvini kuna ambao wanatarajia kuoa pia nao waone nini cha kuzingatia.Ila kwa wewe jaribu tu kukazia hizo principles tatu na nyinginezo mambo yataenda tu mkuu.
   
Loading...