He kumbe wafungwa ni majasiri sikujua hilo thanx
unamaanisha aliogopa kujirusha sio!? Sasa ndo mfungwa gani mwoga..
unamaanisha aliogopa kujirusha sio!? Sasa ndo mfungwa gani mwoga..
Polisi wetu wameshajulikana ukiwakimbia ndo wanakukamata ukiwafuata hata hawakuulizi ndo maana huyo msegerea akawafuata halafu akajisepea..