Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,082 Reaction score 61,975 Aug 12, 2026 Thread starter #81 MTAMBUCA said: Mimi najulikana kama Dalali Juma Bakari. Hata nikiwa kanisani mchungaji wetu hupenda kuniita kwa jina hilo hilo. Click to expand... Lazima akuite hivyo, kwa sababu umempelekea mapato.
MTAMBUCA said: Mimi najulikana kama Dalali Juma Bakari. Hata nikiwa kanisani mchungaji wetu hupenda kuniita kwa jina hilo hilo. Click to expand... Lazima akuite hivyo, kwa sababu umempelekea mapato.
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 14,174 Reaction score 30,653 Aug 12, 2026 #82 Lamomy said: Bila kumsahau, Jiwe, kiongozi wa malaika mbinguni 😹😹😹 Click to expand... Pesa na madaraka zinalevya hasa kwa watu maskini ambao wanapata hela na madaraka ukubwani. Zile childhood trauma za shida na umaskini waliopitia, ndio zina pelekea wajimwambafy na kujikuza sana. Lakini ukicheki wazungu, Mtu kama Elon Musk jina lake ni hilohilo tangu utotoni. Au Mark Zuckerberg jina lake ni hilohilo tangu utotoni. Ila mwafrika akishashika pesa, anaanza kujiita majina ya sifa..😂
Lamomy said: Bila kumsahau, Jiwe, kiongozi wa malaika mbinguni 😹😹😹 Click to expand... Pesa na madaraka zinalevya hasa kwa watu maskini ambao wanapata hela na madaraka ukubwani. Zile childhood trauma za shida na umaskini waliopitia, ndio zina pelekea wajimwambafy na kujikuza sana. Lakini ukicheki wazungu, Mtu kama Elon Musk jina lake ni hilohilo tangu utotoni. Au Mark Zuckerberg jina lake ni hilohilo tangu utotoni. Ila mwafrika akishashika pesa, anaanza kujiita majina ya sifa..😂
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 Aug 15, 2026 #83 Kila la kheri... Cc: Mahondaw