Tuongeze thamani ya majina yetu

Mpuuzi weeh 😹
Winga kama dalali, kwenye hisa wanaitwa brokers.. Huoni huyo ni mshambuliaji kwenye madili ya pesa?
Hakuna tofauti na fundi cherehani
 
Kuna kuipa thamani jina lako na kujipa thamani katika kutambulika kwako (legacy), hivyo ni vitu viwili tofauti.​
Thamani ya Jina la Bill Gates na Bwana Mark unaweza kuilinganisha na thamani ya Dr. gani ama Prof. gani?

Thamani ya jina la Albert Einsten, Archimedes and the alike mbona ipo juu kuliko Dr. wote na Prof. wote wa pale jalalani?
 
Umenikumbusha majina(tiltes) ambazo IDDI AMINI DADA alijiita wakati wa utawala wake.

This Was The Official Titles Of The Ugandan President Idi Amin Dada.

Hivi ndivyo jamaa alivyojiita...πŸ‘‡

β€œHis Excellency President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin, VC, DSO, MC, CBE, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea, and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular”

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mobutu Sese seko yule Raisi wa Congo na yeye alikuwa anaitwa Joseph Mobutu.

Lakini alivyopata madaraka akajiita.

Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga.

Madaraka ni yanalevya sana.

Unatamani kuitwa vyeo na majina vyote...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wasanii wa hapa Tanzania wakishika hela kidogo tu wanabadilisha na majina kabisa.

Wengine wanajiita Simba la Masimba Dangote.

Dangote Femi Otedolaa.

Wengine Tembo Bakhressa.

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yule mjukuu wake bondia, kama atapewa nafasi itapendeza sana
 
Mobutu Sese seko yule Raisi wa Congo na yeye alikuwa anaitwa Joseph Mobutu.

Lakini alivyopata madaraka akajiita.

Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga.

Madaraka ni yanalevya sana.

Unatamani kuitwa vyeo na majina vyote...πŸ˜‚πŸ˜‚
Madaraka ni 'power' ya umungu
 
Mobutu Sese seko yule Raisi wa Congo na yeye alikuwa anaitwa Joseph Mobutu.

Lakini alivyopata madaraka akajiita.

Mobutu Sese Seko Nkuku Ngbendu wa za Banga.

Madaraka ni yanalevya sana.

Unatamani kuitwa vyeo na majina vyote...πŸ˜‚πŸ˜‚
Bila kumsahau, Jiwe, kiongozi wa malaika mbinguni 😹😹😹
 
Mimi najulikana kama Dalali Juma Bakari.

Hata nikiwa kanisani mchungaji wetu hupenda kuniita kwa jina hilo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…