Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
Tuache tujiongezee bwanaThamani ya jina iko kwenye bank account tu, huko kwingine ni kujilisha upepo.
Hela zitaongeza thamani ya jina?Tutafute hela tu
Vyote kwa pamoja vina umuhimuThamani ya jina iko kwenye bank account tu, huko kwingine ni kujilisha upepo.
Pambana mkuu, mwisho wa siku tutahitaji maandiko yako.Kuanzia sasa mimi nitakuwa.
Prof. Realmamy π
Kutoka Chuo Kikuu Cha SUA.
Hilo lako halina umuhimu sana, ni maamuzi ya mtu binafsi.Vyote kwa pamoja vina umuhimu
FactThamani ya jina iko kwenye bank account tu, huko kwingine ni kujilisha upepo.
Zenye muhimu ni mbili tu duniani, Dr/Prof.Padre, sister, maalim, tabibu, mwalimu.
Heee! πPambana mkuu, mwisho wa siku tutahitaji maandiko yako.
Hakikisheni na akaunti zenu zimenona, siyo uitwe Dr fulani au profesa fulani halafu uje unifate mimi Mzee juma kunikopa hela hatutoelewana kabisa! πTuache tujiongezee bwana
Utanisaidia tu jamani kahHakikisheni na akaunti zenu zimenona, siyo uitwe Dr fulani au profesa fulani halafu uje unifate mimi Mzee juma kunikopa hela hatutoelewana kabisa! π
Sawa, lakini kwa masimango sana ππ.Utanisaidia tu jamani kah
CV ya marehemu ikiwa na ukurasa mmoja ni tatizo pia.Yeah naunga mkono hoja ,ila Bank zikishanona pesa kwanza, uchagani tunasema tunaenda kutengeneza cv ya marehemu