Tuongee Ukweli Kuhusu Haji Manara

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Manara ni 1 ya aina ya Wananchi ambao roho huwa inaniuma sana kuwa hatuna bado utaratibu mzuri wa kusheherekea watu wetu kwa Mapungufu/Mazuri yao.

That guy, amechangia kuongezeka uzalendo wa Mshabiki kwa timu zao, haswa Yanga na Simba Kamaliza vibaya ila haibadili mchango wake.

Manara kaacha alama Simba tena kubwa tu basi kiherehere kimemponza na kushindwa kusoma alama za nyakati, aliitendea haki nafasi yake.
 
Ukweli mtupu umenena ila,kwa weredi wake huo na ukubwa wa jina lake ulimfanya awe na kiburi,mfano wa kiburi cha Haji ni kufokea waandishi wa habari baadhi yao kuwaambia anatamani wasije kwenye press zake.

Kingine ni kutoa maneno machafu kwa bosi wake,lakini akuhishia hapo voice note yake ya pili anasema hivi"hawa watu ni wabaya sana wanaweza kuniwekea hata unga au kinifanyia kitu kibaya"hao watu wanaoweza kumfanyia Haji kitu kibaya ni Mo, Barbara na Hanspop au ni kinanani hao?
 
Kwa zile nyodo zake, sidhani kama kuna timu anaweza kufanya kazi nayo! Alijiona yeye ni Simba na Simba ni yeye!! Akasahau Simba ya sasa ni mali ya Moo, na siyo Wanachama!! Moo akiamua, utoke! Unatoka!!

Pole yake! Na kamwe Wana Jangwani hatutomsahau kwa zile kejeli zake alizo tufanyia! Binafsi namchukia sana yule jamaa na hivyo nimefurahia tu kutimuliwa kwake.
 
Manara ni 1 ya aina ya Wananchi ambao roho huwa inaniuma sana kuwa hatuna bado utaratibu mzuri wa kusheherekea watu wetu kwa Mapungufu/Mazuri yao.

That guy, amechangia kuongezeka uzalendo wa Mshabiki kwa timu zao, haswa Yanga na Simba Kamaliza vibaya ila haibadili mchango wake.

Manara kaacha alama Simba tena kubwa tu basi kiherehere kimemponza na kushindwa kusoma alama za nyakati, aliitendea haki nafasi yake.
Kwa hiyo tufanyeje??.
 
Ukweli mtupu umenena ila,kwa weredi wake huo na ukubwa wa jina lake ulimfanya awe na kiburi,mfano wa kiburi cha Haji ni kufokea waandishi wa habari baadhi yao kuwaambia anatamani wasije kwenye press zake.

Kingine ni kutoa maneno machafu kwa bosi wake,lakini akuhishia hapo voice note yake ya pili anasema hivi"hawa watu ni wabaya sana wanaweza kuniwekea hata unga au kinifanyia kitu kibaya"hao watu wanaoweza kumfanyia Haji kitu kibaya ni Mo, Barbara na Hanspop au ni kinanani hao?
Alilewa sifa.
 
Alilewa sifa akidhani kaajiriwa na mashabiki.

Akwendreeeee simba ni kubwa kuliko mtu. Ametoka lkn simba itabaki palepale ilipo pengine itapaa zaidi.

Alafu yule ni Snitch!!!

Traitor!!!!

Manara anacheza no. Ngapi?Ana magoli mangapi uwanjani?

Timu kubwa za Misri,South Africa,Congo kwani hua zinawatu dizaini za Manara ili kufika huko zilikofika?

Manara ni mpiga kelele tu.
 
Nitaendelea kuheshimu mchango wa manara pale Simba no matter what!

Huyu barbara hana uwezo wa kushawishi shabiki aende uwanjani!
Halafu ni kiongo kiongo tu, kimeandika eti Simba imetimiza malengo yake kwa kufika robo final ya Africa, wakati kila mtu anajua lengo ilikua ni nusu final,

Hana uwezo wa kuwaaminisha wachezaji wa Simba, "kwamba pamoja na udogo wa majina yenu, mna uwezo wa kumpiga Al ahly kwa mkapa"

Na Al ahly akafa kweli,
FB_IMG_1625916496019.jpg
 
Ni Haji Manara mmoja tu Simba....

Ila....

KIHEREHERE CHAKE NA KULEWA SIFA ZA KIPAJI KIKUBWA ALICHOPEWA NA MUNGU

#KaziIendelee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom