Tuongee Magazeti STARTV leo mmeboa sana

Kongi

JF-Expert Member
May 2, 2012
440
117
Huyu dada aliyetangaza leo Magazeti StarTV lazima ni mccm au ametishwa.

Yaani kagoma kabisa kusoma habari za kilichotokea jana jangwani uzinduzi wa kampeni za UKAWA, zaidi ya kusoma HEADINGS tu kisha kukimbilia kusoma habari za Magufuli, Samia, Mwakyembe na Lisinde.

Kimsingi alichokua anafanya huyu binti ni sawa tu na alichokifanya yule mtangazaji wa magazeti wa TBC1 kuruka habari na kusoma vijihabari.

Huu utaratibu wa watangazaji kufanya kazi kishabiki akiti ukweli unaonekana inakera na inadharirisha taaluma zao na vyombo vyao vya habari.
 
Unajua hii inashangaza sana, mimi wakati mwingine naona hata ccm wenyewe hawapendi, maana watu wanawafanya waonekane kama majuha..
1.kama ile kukata umeme na kurudisha dk 5 baada ya mkutano kuisha ile ipo wazi mno na inakula kwa ccm zaidi kuliko ukawa
2.Au ile ya tbc mpaka TCRA wakastkua ile ni kama unaiaribia CCM
Na wahusika hawajui kila unapoficha habari ndo unaongeza tension zaidi, na kiu ya watu kutaka kujia hata kama mtu alikuwa hana mpango
 
Kukata umeme. Kutokusoma habari za Ukawa, haisadii kitu Watanzania hawa wa leo siyo wakudanganywa kihivyo.
 
Huyu dada aliyetangaza leo Magazeti StarTV lazima ni mccm au ametishwa.

Yaani kagoma kabisa kusoma habari za kilichotokea jana jangwani uzinduzi wa kampeni za UKAWA, zaidi ya kusoma HEADINGS tu kisha kukimbilia kusoma habari za Magufuli, Samia, Mwakyembe na Lisinde.

Kimsingi alichokua anafanya huyu binti ni sawa tu na alichokifanya yule mtangazaji wa magazeti wa TBC1 kuruka habari na kusoma vijihabari.

Huu utaratibu wa watangazaji kufanya kazi kishabiki akiti ukweli unaonekana inakera na inadharirisha taaluma zao na vyombo vyao vya habari.

Wewe ndio shabiki kwa sababu unataka asome habari nzima ili akurishishe wewe. Chukua pesa yako nenda uianunue ujiridhishe mwenyewe
 
kwan lowasa jana jangwan kasema nn? sini hamna kitu!

Kumbe ulimsikiliza afadhali taratibu tu utaelewa.

Moja ya alichokisema ni elimu bora na bure kwa watanzania wote.
Pia mgombea mwenza aliahidi katiba mpya yenye kukubaliwa na watanzania wengi/wote.
 
Ukiingia kwenye internet, website nyingi tu zenye magazeti , wananchi wafungue wasome humo.
 
Kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Ccm wanashindwa kuelewa pamoja na kukata umeme, kuhujumu Habari za UKAWA kupitia TBC and pros, kutumia polisi hivi popularity ya UKAWA inashuka au inapungua?

Kama KWELI hizo hujuma zote walizofanya na wanazofanya kwa muda wote zinazaa matunda Mbona jana MALAKI ya watu wamekesha na kushinda jangwani??????
Mbona UKAWA inazidi kujiongezea popularity yani me naona wanazidi kuboost UKAWA.
 
Walichofanya Tbc1 wakapewa Kalipio na Tcra ndicho walichorudia kufanya Star Tv Leo kwenye kipindi cha cha Tuongee Asubuhi Magazeti tunategemea Tcra kutenda haki kuipa adhabu inayostahiki.
 
Acheni Kutumia Neno Wananchi Malofa Nyie.Wengine Hatuna Hata Habari Na Huyo "Zezeta" Wenu Ambae Hameshindwa Hata Kuwahutubia Malofa Wenzie Waliokusanyika Kumsikiliza.
#HapaNiTingatingaTu
 
Mwenye hiyo tv station ni kada wa kutupa pia yupo kwenye ile kamati ya kampeni sasa unategemea nini hapo
 
Back
Top Bottom