hili suala nashindwa nilichukulieje kwa jinsi flow ya mambo inavyokwenda Duniani kwa sasa hivi.
I know it's totally wrong but what should be done?
Binafsi ninao marafiki gay na they are the nicest people I've ever met.
Pili je viongozi wa dini seem to have given up this battle.
At family level nako chenga chenga. .watoto wenyewe sikuhizi sio wa kiume sio wa kike wanafugwa kamasio kulelewa! unakuta mkaka anatwerk hataree!
One of my Co~worker ni mkaka na ni gay and very open about it. .and yeye ni KE in that relationship! Yes Strange but I always carried out with his relationship advises. .He is really funny and open so huwa namuliza maswali hapa na pale nini. .Dah !
and "boyfriend wake"..daaammn he is the fire. .Hot n goodlooking. .Yani najiulizaga why? Nakosa jibu.
Wat is stl goin rong is we Afrcns we dont have a trdtn of being honest and open....eg...t z difclt to see an afrcn family dscsn ds mata....vry fw
2. Wat to be done....is to be real understandaning tha problm it self....family shld chunguza its member ili iwe ya kwanza kumjua shoga in their family and try to help him ASAP.
3. WAT IS WRONG IS NOT FREEDOM....Hop i ansd all of ur qtns
My bad dude....i thought what i have contribute l b understood...sor manHeee asa hapa umeandika kitu gani ndo umarekani wenyewe.....!
vifupisho vimefanya ujumbe wako usieleweke iliniwia vigumu kuelewa unaongelea nini, na zaidi hapa jf hawapendekezi uandishi wa namna hiyo,jaribu kufuatilia sana watu wanvyoccoment humu utaona ni wachache sana au hamna kabisa wanaotumia vifupisho,unaona kama hapa umeandika kawaida kabisa na moja kwa moja nimekupata vilivyo.
Kwendraaa huko na upunga wako. Nakuongeza kwenye list ya mapunga waj jf.
Boflo.
Aminata mrembo
swts
secret
mpole sana
bhaunhu.
Inaelekea unataka kutueleza point muhimu sana ila tatizo uandishi kaka JF hatuna uandishi wa namna hiyo so badilika lemalbert for the better.
Nakubaliana na wewe mkuu..huyu jamaa atakua ni swts mmoja wao, anajaribu aone mapokezi yakoje..Hapa amechemka, hatuwaruhusu hawa watu kutuharibia tamaduni na mila zetu.. Unapanda mbegu juu ya mbegu, unategemea nini? Tuheshimu mila na desturi zetu.Mtoa mada sio mwanamke ni mwanaume ata ukisoma the way alivyoandika it simply defines him as a boy ili jina la swts ni jina tu everyone is fake here
Ndo maana hatuwezi kupambana na hii mada kwa sababu Africa bado tuna vingi vya kupambana navyo! What a Continent! And yet where is better than home?
mambo. .long time!
Natumai ur all fine.
Well i may sound funny..ila hili suala nashindwa nilichukulieje kwa jinsi flow ya mambo inavyokwenda duniani kwa sasa hivi.
I know it's totally wrong but what should be done?
Binafsi ninao marafiki gay na they are the nicest people i've ever met.
Kwa wanaowajua hawa watu nadhani mnaelewa. .ni wanaroho nzuri kuliko straight guys. Sijui why but most of em are so cool.
One of my co~worker ni mkaka na ni gay and very open about it. .and yeye ni ke in that relationship! Yes strange but i always carried out with his relationship advises. .he is really funny and open so huwa namuliza maswali hapa na pale nini. .dah !
And "boyfriend wake"..daaammn he is the fire. .hot n goodlooking. .yani najiulizaga why? Nakosa jibu. Ukienda male strip clubs yallah usiseme.
Anyways blah to the blah..
Kutokana na umaskini sijui tamaa na utegemezi uliokithiri hii kitu ikishikiwa bango na hayo mataifa kwa tanzania kulegalize sidhani kama kuna kiongozi mwenye msimamo wa kupingana nao! Wanaugulia kiundani tuu.
Pili je viongozi wa dini seem to have given up this battle.
At family level nako chenga chenga. .watoto wenyewe sikuhizi sio wa kiume sio wa kike wanafugwa kamasio kulelewa! Unakuta mkaka anatwerk hataree!
Well nini kifanyike. Cos apart from hiyo kitu ni watu poa sana. .kuwaadhibu kwa sheria kali again who is perfect? And that's what makes them happy! Je waachwe tuu au we unadhani utamsaidiaje ?
Kwa waelewa mtanielewa .huwezi pita siku bila kukutana nao kama 3 or 4 both gender!
What is still going wrong? What has to be done? It is wrong but isn't it personal freedom?