Tuongee Kiume: Kumbe kuna programu ya simu ya kuficha namba za michepuko!..

Tuongee Kiume: Kumbe kuna programu ya simu ya kuficha namba za michepuko!..

Hivi pamoja na mambo kubana hivi bado watu wanachepuka...

Sony Z3
 
Aisee hii nimeipenda.... Sisi wanaume wa Dar inatufaa sana maana kuna watoto huku mjini balaaa. Tutafata maelekezo halafu tutarejesha mrejesho. Asante sana mkuu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu mwenyewe stress tosha, nianze kufukunyua simu ya mtu mzima aloamua kufanya upumbavu wake!!!! NO sijihangaishi, iache hapo utaikuta kama ulivyoiacha.
 
Dah! hiyo application itakua noma inaweza ficha hata sms za whatsapp!!...
 
Watu kweli mna moyo kwa jinsi vyuma vilivyokaza hivi bado mnarundika wanawake!!!!!!?
 
Back
Top Bottom