Mjadala kichekesho unaendelea Star tv kutaka Bunge liandikwe Gazetini,wakati bunge lenyewe halitaki lioneshwe live.Je magazeti yaandike habari ya bunge kwa faida ya nani?
Je, wasome hao hao ambao hawatakiwi kuliona bunge likiwa kazini?
Magazeti kazeni buti hatutaki kuona habari ya bunge ndani ya magazeti.
Mkiandika tutaacha kununua. Kazi waachieni uhuru na habari leo.
Pamoja TV yao ambayo inabagua watu wa kuwarusha hewani.