mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,548
Muda huu tuongee asubuhi ya Star TV katika eneo la jicho letu ndani ya habari, mwandishi nguli paschal mayalla anadadavua matukio mbali mbali yaliyojitokeza jana wakati na kabla ya hotuba ya Raisi.
Paschal mara nyingi anarejea jinsi Mtandao wa kijamii wa JF ulivyokua unabashiri mambo kwa usahihi na jinsi UKAWA walivyoweka wazi misimamo yao ya kuwa walipanga kuzomea jana.
Tufuatilie
Paschal mara nyingi anarejea jinsi Mtandao wa kijamii wa JF ulivyokua unabashiri mambo kwa usahihi na jinsi UKAWA walivyoweka wazi misimamo yao ya kuwa walipanga kuzomea jana.
Tufuatilie