Tuombe Mungu maisha haya si ya kuyaishi

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Fikiria ndio asubuhi hiyo umeaka ndio kwako hapo?

attachment.php
 

Attachments

  • india.jpg
    india.jpg
    70.4 KB · Views: 108
This is imaginary

Sordo, tembea uone mambo kuna watu wengi duniani wanaishi maisha kama hayo hakuna siku atakaa ndani ya nyumba, kukija mafuriko hawatoki, joto kali na vumbi ndio maisha yao, temea chini!!!
 
hayo mbona ni ya kawaida india sasa hapo wakati niko pale tulikuwa tunakwenda usiku kutembea tembea tunawakuta wahindi hasa familia mume anakuambia njoo ulale na mke wangu allafu tuwalipe pesa kuanzia $10 maisha yao ni taabu sana uwezi kuamini hata kidogo kwanza hata hapo huyo yuko kwenye nyumba nzuri sana hapo wengine wako kwenye miti
 
Back
Top Bottom