Tuombane msamaha wana JF

Inafurahisha sana mtu kuwa connected na JF na kuifanya sehemu ya maisha yake

Yani unaomba msamaha hewa kwa digital shitbags waliopo nyuma ya keyboard ambao hutakuja kuwajua hata siku moja.

Trash🚮
 
Siombi cha msamaha wala, kama unaona hufiti katika mifumo na mitikasi yangu basi pita kushoto hata ukafe huko. Sikujui hunijui,hatujuani pumbavu zenu wote mnaonichukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…