Saidia wazazi wako 👊 👊 hata kama hawaja kuomba
Walale pazuri
Wavae vizuri
Wale vizuri
Ukiona usumbufu na huna mda wajengee chanzo Cha maokoto pesa
Saidia wazazi wako vyovyote uwezavyoNadhani kwa kuwasaidia vijana ambao bado hawaja toka au hawana msingi bora ungesema tunza mzazi pale unapo weza, kuna vijana hawafanikiwi au hawasogei mbele kwasababu ya kubeba mizigo mikubwa.
Kwaio weka sawa hapo Usitumie hisia hayo hayapo karne hii.
Siyo saidia ni wajibu wako, hata ukikaa na hela zako sie wazazi hatunaga nom
Ndio mnasemaga hivo lkn weng wanaenda kujitangaza kijana wngu kanitupaSiyo saidia ni wajibu wako, hata ukikaa na hela zako sie wazazi hatunaga noma
KabsaSaidia wazazi wako vyovyote uwezavyo
Kwa hali ulio nayo kwa unavyo vimudu