TUNU PINDA: Profile

Umeambiwa jf ni zaidi ya google, tulia hapa hapa jf, watakuja tu wajuzi wa mambo watatuambia tu alikuwa anaitwa na nani, na kama alikuwa anafunga malemba tangu za zamani, watasema tu
Duuhhh kuna anaejua kweli? Na mm ningetamani kuijua
 
Umeambiwa jf ni zaidi ya google, tulia hapa hapa jf, watakuja tu wajuzi wa mambo watatuambia tu alikuwa anaitwa na nani, na kama alikuwa anafunga malemba tangu za zamani, watasema tu

ram huyo alishasasambuliwa hapa kitambo sana JK ndo alikuwa anatinga magogoni sema thread nimeisahau!
 
Last edited by a moderator:
Duh! hebu ifukunyue huko ilipo ili nifahamu mwl salma
ram
huyo alishasasambuliwa hapa kitambo sana JK ndo alikuwa anatinga
magogoni sema thread nimeisahau!
 
Last edited by a moderator:
Mbona inasemekana mke wa kwanza wa Pinda alifariki na akaoa mdogo wa marehemu? How far is the truth?

Ni kweli mke wa kwanza alifariki. Mila ikamruhusu akaoa mdogo wa marehemu naye akafariki. Akaamua kuishi kwa muda bila mke. Masuala ya vyeo vya utumishi wa umma yakalazimu awe na mke, na ni Tunu. Hana mtoto na Tunu. Wanawe ni wakubwa wa mke wa kwanza. Sina hakika kama mke wa pili alizas maana hakudumu sana. Mengine ni private zaidi.
 
There're rumours that naye ni victim wa 'Mdudu' na hizo scenario za vifo vya wakeze vinajenga maswali mengi ingawa mimi si polisi
Ni kweli mke wa kwanza alifariki. Mila ikamruhusu akaoa mdogo wa marehemu naye akafariki. Akaamua kuishi kwa muda bila mke. Masuala ya vyeo vya utumishi wa umma yakalazimu awe na mke, na ni Tunu. Hana mtoto na Tunu. Wanawe ni wakubwa wa mke wa kwanza. Sina hakika kama mke wa pili alizas maana hakudumu sana. Mengine ni private zaidi.
 
Aiseee.... pole sana mizengo, sasa Tunu hana mtoto jamani?
Ni kweli mke wa kwanza
alifariki. Mila ikamruhusu akaoa mdogo wa marehemu naye akafariki.
Akaamua kuishi kwa muda bila mke. Masuala ya vyeo vya utumishi wa umma
yakalazimu awe na mke, na ni Tunu. Hana mtoto na Tunu. Wanawe ni wakubwa
wa mke wa kwanza. Sina hakika kama mke wa pili alizas maana hakudumu
sana. Mengine ni private zaidi.
 
Eti ana msimamo.... mbona hakumsimamia jamaaamkomalie siritadi...?!! Kama kufats ulaji mengine ila huo msimamo kushney
 
Umbeya utawauwa wakuu!kisa wife wake underground han makuu mwaanza mfuatilia mwataka awemwizi au malaya mumuweke magazetini mpate lakufanya!ya pina na mkewe mwachieni mizengo peter

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Profile ya nini sasa na mke wa mtu .? Umesahau mme wake kawaruhusu mamwela wapige watu bila kujali.
 
Ni kweli mke wa kwanza alifariki. Mila ikamruhusu akaoa mdogo wa marehemu naye akafariki. Akaamua kuishi kwa muda bila mke. Masuala ya vyeo vya utumishi wa umma yakalazimu awe na mke, na ni Tunu. Hana mtoto na Tunu. Wanawe ni wakubwa wa mke wa kwanza. Sina hakika kama mke wa pili alizas maana hakudumu sana. Mengine ni private zaidi.

mbona nimesikia ana mtoto moja tu, binti aliyegraduate masters mzumbe university, main campus hapa juzi kati?
 
Ni kweli mke wa kwanza alifariki. Mila ikamruhusu akaoa mdogo wa marehemu naye akafariki. Akaamua kuishi kwa muda bila mke. Masuala ya vyeo vya utumishi wa umma yakalazimu awe na mke, na ni Tunu. Hana mtoto na Tunu. Wanawe ni wakubwa wa mke wa kwanza. Sina hakika kama mke wa pili alizas maana hakudumu sana. Mengine ni private zaidi.

Ok watu wazima sisi tumeshakuelewa kitambo!!
 
Ohhhhh kumbeeee

nimeipenda hii. Inaonekana she's a decisive woman na haoni tabu ku express her feelings and thoughts.

Hivyo Mama Pinda ni mtu ambaye anaweza kufanya MAAMUZI MAGUMU na hasa hilo la kubadili dini kumfuata ampendaye (Pinda)

Ki saikolojia kuna uwezekano kabila skuwa hashindwi kumshauri mumewe naye afanye maamuzi magumu

je naye ni HAJJAT?

Hanaga ujasili ira ukiniambia nizamu ya woga nitakuerewa..unabadiri dini ya nn km ni mtu wa maamuzi? She changed the religion out f fear f luzing punga...chezea mpunga ww..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom