Tunu Pinda kamuuliza Mh. Mizengo Pinda swali kwenye mkutano wa hadhara

Nimeona maajabu sana. Katika ziara za Waziri mkuu wa Tanzania kanda ya ziwa kaambatana na mkewe. Baada ya kuona Raia hawamuelewi waziri mkuu, Tunu Pinda ikabidi aulize swali kwa niaba ya wakazi wa sehemu husika.
Aliuliza;
Sisi wanawake wa hapa tunapata tabu sana katika kuchota maji hadi nywele za katikati hazikui sababu ya kujitwisha chungu, je serikali itatusaidiaje?.
Waziri akajibu;
Nimeambiwa zinahitajika mil 200 kuondokana na tatizo, hizo mil 200 nitawapeni bila tatizo.
Hii imekaaje?. mia

Tunu Pinda ni mkazi wa kanda ya ziwa?

Pinda = Tunu, kwa hiyo:pinda alijiswalisha
 
Katika wanawake wa viongozi niliokuwa nawaheshimu ni pamoja na huyu Tunu Pinda. Kumbe aliyosema Malecela ni kweli kwamba ukikaa karibu na Waridi na wwewe utaanza kunukia u-waridi!

Yaani mama Tunu pinda naye ameanza usanii kama wa Mama salma Kikwete!!
 
Back
Top Bottom