Kutoka Bungeni: Waziri Mkuu kamkana Mbowe kuhusu mgogoro wa madiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Bungeni: Waziri Mkuu kamkana Mbowe kuhusu mgogoro wa madiwani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ritz, Aug 11, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Asubuhi ya leo kwenye maswali ya papo kwa papo, Mbunge wa CCM, kamuuliza swali Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kuwa nasikia umefanya kikao na Mwenyekiti wa CDM, Mbowe kuhusu suala la Madiwani Meya Arusha!
  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akajibu hajafanya mazungumzo yoyote na Mbowe, kilichotokea Mbowe aliniomba tukutane nikamkubalia wakaja pamoja Dr Slaa, wakasema wanataka tufanya mazungumzo kuhusu mgogoro wa Arusha, Pinda hakawajibu kuwa suala la Arusha mbona alina tatizo uchaguzi ulikuwa huru, kama tatizo lolote mahakama zipo
   
 2. K

  Karry JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  safi mh PM, mnafukuzaje madiwani wenu waliochaguliwa na wananchi, hiyo ni dharau kubwa sana kwa sisi wapiga kura na hamna huruma na uchumi wa nchi mnapotaka kurudia uchaguzi,
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hajafanya MAZUNGUMZO, ila Mbowe na Slaa wali(hapo kwenye Blue) na baadaye wakaja waka(penye nyekundu). Yaani unapanga na mtu uende kwake kwa mazungumzo na ukifika kwake ndiyo unapanga tena lini mkutane mzungumze. Hivi mkikubaliana mtu aje mzungumze na anakuja anadai tena mpange mzungumze? Kibaya zaidi JITU zima linanunua hicho....... Si akiri tu walizungumza ila HAWAKUAFIKIANA. Kunguru.......
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Kwenye tamko la CDM la kuwafukuza madiwani wake Mbowe alisema wameanza mazungumzo na Waziri mkuu kuhusu mgogoro wa Arusha na wameishafikia pazuri.
  Leo tena Waziri Mkuu Mizengo Pinda kamkana kasema hamna kitu kama hicho anaona tu kupitia vyombo vya habari kuwa kafanya mazumguzo na CDM
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mizengopinda kweli kapinda kwelikweli
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Yule Mbunge aliiba vitu hotelini hapa Arusha anaitwa nani tena?
   
Loading...