Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 99
habari wanajamvi naomba msaada wa namna ya kufanya sharing kwa computer nyingine iwe kwa wireless or wired nimejaribu bila mafanikio..
habari wanajamvi naomba msaada wa namna ya kufanya sharing kwa computer nyingine iwe kwa wireless or wired nimejaribu bila mafanikio..
connectify na mhotspot imeshindikana mkuu kama kuna trick unazo fanya kushare mkuuu serious i need it..
- Je umejaribu kwa kutumia software gani?
pdproxy vocaha zipo ni kwa shiling 5000/= kwa mwezi karibuni 0688148836
pd si imegoma au kwako bado inapiga mzigo??? ukinipa njia ya kutumia pd nipo tayari kununua hata kwa 7000
Pd inapiga mzigo kwenye data bundle kwaajili ya kufichia Maswa.buri si kwaajili ya kupata free net ndio maana bei chee.
Ila kama una kinyaunyau kile kinachokata kila dk 9 unakula zote