Tunnel guru internet sharing solution...

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
398
99
habari wanajamvi naomba msaada wa namna ya kufanya sharing kwa computer nyingine iwe kwa wireless or wired nimejaribu bila mafanikio..
 
Simple....nenda google then search for "virtual router free download"...au PC wireless router softwares...utazipata,ni rahisi sana...Mimi natumia ya kwanza hapo juu,unahitaji tu kufuunga modem au cable(LAN) then unafungua, unaset password and walla....unashare
 
Simple....nenda google then search for "virtual router free download"...au PC wireless router softwares...utazipata,ni rahisi sana...Mimi natumia ya kwanza hapo juu,unahitaji tu kuunga modem au cable(LAN) then unaifungua hiyo software, unaset password and walla....unashare
 
Inapendeza sana ndugu wakikaa pamoja kwa upendo kama hivi... asanteni wadau kwa kutufumbua macho na wengine.
 
ndugu zangu nilikuwa natumia pd proxy ikala kwangu lakini sasa napeta na tunnel guru kutoka kwa mwalimu nashukuru nimepata ushirikiano wa kutosha mpaka nimeconnect na torrent inapiga mzigo kama kawa na speed yangu inafika 1.3mbps ukitaka kuakiki ntakuonyesha kupitia Skype video call
 
pd si imegoma au kwako bado inapiga mzigo??? ukinipa njia ya kutumia pd nipo tayari kununua hata kwa 7000

Pd inapiga mzigo kwenye data bundle kwaajili ya kufichia Maswa.buri si kwaajili ya kupata free net ndio maana bei chee.
Ila kama una kinyaunyau kile kinachokata kila dk 9 unakula zote
 
Jamani mmeniacha kidogo mzigo mzima huu ni bure au ukishakuwa na pd au tunnel unalipia tu naombeni maujanja
 
Pd inapiga mzigo kwenye data bundle kwaajili ya kufichia Maswa.buri si kwaajili ya kupata free net ndio maana bei chee.
Ila kama una kinyaunyau kile kinachokata kila dk 9 unakula zote

Connect Pd proxy kwa kutumia TCP Protocol utakula bure
fu rudi nipe side effects kama inafaa atu kutumia au la?
some connect pd over TG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom