Adilinanduguze2 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 1,437 Reaction score 1,967 Feb 16, 2015 #1 Naomba mtu aniandikie maana 5 tofauti ya sentensi ifuatayo: "Mau kampigia mpira Said"
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,109 Feb 16, 2015 #2 mau kampiga said na mpira mau kapiga mpira kuelekea kwa mau
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Feb 16, 2015 #3 Adilinanduguze said: Naomba mtu aniandikie maana 5 tofauti ya sentensi ifuatayo mau kampigia mpira said Click to expand... mau karusha pasi kwa said mau kampiga said kwa kutumia mpira mau kapiga mpira badala ya said mau kapiga mpira kwenda kwa said
Adilinanduguze said: Naomba mtu aniandikie maana 5 tofauti ya sentensi ifuatayo mau kampigia mpira said Click to expand... mau karusha pasi kwa said mau kampiga said kwa kutumia mpira mau kapiga mpira badala ya said mau kapiga mpira kwenda kwa said
B Bagamoyo Platinum Member Joined Jan 14, 2010 Posts 31,643 Reaction score 36,278 Feb 17, 2015 #4 Kwanza angalizo, majina mau na said lazima yaanze kwa herufi kubwa ktk sentensi yoyote yaani Mau na Said.
Kwanza angalizo, majina mau na said lazima yaanze kwa herufi kubwa ktk sentensi yoyote yaani Mau na Said.
Temu Son JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 251 Reaction score 61 Feb 17, 2015 #5 Mau kapiga mpira kuelekea kwa said, Mau kampiga Saidi kwa kutumia mpira, Mau kamsaidia Saidi kupiga mpira,
Mau kapiga mpira kuelekea kwa said, Mau kampiga Saidi kwa kutumia mpira, Mau kamsaidia Saidi kupiga mpira,