Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Naamini tulio wengi tumechukizwa Na kitendo cha kihuni kisicho cha busara kilichofanywa Na kiongozi mteulebwa Mh.Rais Bw.Paulo Makonda Na jeshi lake kuvamia kituo cha Clouds FM.Kwa pamoja tupaze sauti zetu kumlaani kiongozi huyo ili iwe fundisho Kwa viongozi wengine wenye tabia ya kulewa madaraka.