Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

Nchi hii ina wapumbavu wengi ndio maana tumebaki maskini wa kutupwa kwa miaka 60 tangu uhuru
 
Acha uongo wewe,Rais aliyekuwa na chawa wengi ni Hayati JPM.
Ilifika hatua wengine walimwita YESU n.k. au umesahau?
Kila mahali walimsifu hadi
kumfananisha na Mungu.
 
Kama siyo mama tungekuwa tunasadiei na treni ya mwendo kasi
 
Ni kweli kabisa Magufuli ndio kaharibu sana Bunge imefikia hatua Spika Ndugai akajiuzulu kipindi akiwa madarakani.
 
ACHENI UWONGO BODI YA MIKOPO BADO INATUKATA 15%.
 
Tungekuwa iliko Zimbabwe na Zambia saizi huku wachache wakila maisha ,wakiwalisha wanyonge propaganda za kuhujumiwa na mabeberu.
 
Kama si mama nani angemng'ofoa nduli ndugai kwa aibu...
nani angewaparua benchi plofeza kabundi na lukumvi!
Nani angesafisha mitaa navurugu za machinga!
Nani angemsuuza kitwila mkundo!
Nani angewatuliza mpolipoli na bashilu!
Nani angemtuliza saambaya,murokiherehere nk.!
Nani angestopisha Chato kuwa dubei!!
Nani angepangua kandaziwa madarakani!!
Mambo nimengi telee mama kazi isongeee

Ili la umeme kukatika hovyo na lambowe tutahoji kesho eeeh!
 
Wanambie hao Watanganyika kosa la mama ni Uzanzibar Uislamu na Ujanajike wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…