Tungekuwa tunapeana maneno ya MUNGU kama tunavyojazana habari Mafisadi wasingekuwepo Tz

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Hakuna kitu chenye nguu kama Neno LA MUNGU
Nasema hats nchi zingine Leo hii zinasimama sababu ya maombi ya watu Wa MUNGU wakisimama NA Neno LA MUNGU

Vyema mkasimamia Neno NA kufundishana tuweze kuuona ufalme Wa MUNGU..wengi wanaishi kwakukata tamaa awajui KUNA Neema ya MUNGU NA maisha baada ya kutoka duniani

Mamboya kimwili NA habari ayaepukikiki ila tujitahidi zaidi kuundishana neno LA MUNGU

Mbarikiwe
 
Tuwaombee viongozi wetu kama amtojali kuwaombea mtazalisha mafisadi kilasiku nakubaki nakelele nhimaskini maskini
 
Wengi wa mafisadi ni watu wa mungu sana. Wanatumia jina la mungu kwa manufaa yao binafsi.Nitakupa mfano wa Late former zambia presidence Chiluba, alikuwa mlokole sana lakini mwezi mkubwa na wengine wengi.
 
Back
Top Bottom