Tunduma: RC Songwe aagiza bendera za CHADEMA zishushwe kupisha ziara ya Waziri Mkuu

Habari iliotufikia hivi punde ni kwamba bendera za CHADEMA wilayani Tunduma zimeshushwa na jeshi la polisi ili kupisha ziara ya Waziri Mkuu. Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe bendera zote zishushwe mpaka Waziri Mkuu amalize ziara yake.

Chanzo: Katibu wa wilaya CHADEMA.

My take:

Hivi demokrarasia ya vyama vingi imeshafutwa maana nawaona wabunge wa CCM, Humphrey polepole na Hamidu Shaka wakiendelea kufanya mikutano yao ya siasa katika jimbo lao la Tanzania wakipinga dhana ya malaika ya hapa kazi.

POLISI ni kwaajili ya kutulinda Raia na wanyewe wameshachukua kadi za CCM sasa hivi wanafanya kazi za chama.
Watazitupa tu watakapochoka kukamata watz wenzao bila ya kosa.
 
Nyie endeleeni kupiga mayowe tu lakini hizo bendera zitashushwa. Poleni. Na Lisu wenu kajificha mahakamani anamtegemea mzungu amuokoe.
 
Yaani ccm ndio kwisha habari yake wanategemea dola sasa siasa za majukwaani awaziwezi tena
 
Pongezi RC Songwe wapuzi hao wanafikiri kwamba waweke bendera za kipinzani ili PM aone kuwa wao ndo kiini cha upinzani watanyoka tu hawana hoja hawaoni Arusha wanaojielewa hawapingi jitihada za CCM wanaccm chapa kazi CCM Oyeeeeee

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habari iliotufikia hivi punde ni kwamba bendera za CHADEMA wilayani Tunduma zimeshushwa na jeshi la polisi ili kupisha ziara ya Waziri Mkuu. Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe bendera zote zishushwe mpaka Waziri Mkuu amalize ziara yake.

Chanzo: Katibu wa wilaya CHADEMA.

My take:

Hivi demokrarasia ya vyama vingi imeshafutwa maana nawaona wabunge wa CCM, Humphrey polepole na Hamidu Shaka wakiendelea kufanya mikutano yao ya siasa katika jimbo lao la Tanzania wakipinga dhana ya malaika ya hapa kazi.

POLISI ni kwaajili ya kutulinda Raia na wanyewe wameshachukua kadi za CCM sasa hivi wanafanya kazi za chama.
Kwani siku hizi bendera zinazuia utendaji wa sisi chama watawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaaa la kuwalazimisha watu waende mazoezi ya mgambo halijaisha kaja na lingine,kesho atatoa amri yeyote aliye kwenye wilaya yake awe anachomekea suruali kwenye soksi
 
Habari iliotufikia hivi punde ni kwamba bendera za CHADEMA wilayani Tunduma zimeshushwa na jeshi la polisi ili kupisha ziara ya Waziri Mkuu. Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe bendera zote zishushwe mpaka Waziri Mkuu amalize ziara yake.

Chanzo: Katibu wa wilaya CHADEMA.

My take:

Hivi demokrarasia ya vyama vingi imeshafutwa maana nawaona wabunge wa CCM, Humphrey polepole na Hamidu Shaka wakiendelea kufanya mikutano yao ya siasa katika jimbo lao la Tanzania wakipinga dhana ya malaika ya hapa kazi.

POLISI ni kwaajili ya kutulinda Raia na wanyewe wameshachukua kadi za CCM sasa hivi wanafanya kazi za chama.
Vyama vingi haviwezi kufutwa, na vyama vingi haimaanishi chadema , vyama vingi ni pamoja na ccm. Hapo vipi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sku moja nilienda kanisani (Aict-Africa Inland Church Of Tanzania), mchungaji baada ya sentence chache alikuwa akisisitiza kumuombea jamaa flan hiv ambaye huwa simzimii hata kidogo (Not to that extent). Tangu cku hyo cjawah kwenda kanisani hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom