TUNDUMA: Mbunge Frank Mwakajoka mikononi mwa Polisi

Wakuu wa wilaya wa Awamu hii naona kazi yao kuu ya kwanza ni kukamata na kuweka ndani wapinzani
 
Duuh Baba J ajisiki vibaya angalau akemee tuu ataa kwa geresha .duuh Inatia kichefufu .
 
Mbunge wa Tunduma(CHADEMA), Frank Mwakajoka akamatwa na Polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya

Hapo awali ilidaiwa kuwa mbunge huyo alisikika kutoa kauli za kuwadhihaki viongozi wa serikali walioteuliwa akiwemo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
mbona wanajiongeza majipu tuu tunawaonea huruma anaamwigaa yule wa Bulaya daah nchi ikitaawaliwa na mshamba na maskini wa kutupwa ndio tabu zake hizi yaani anakumbuka alivyokuwa analiwa na funza basi anamalizia hasira kwa wananchi
 
Huyu mbunge alinikera siku PM kaenda Tunduma badala ya kuomba vitu vya msingi akaomba magari ya polisi
 
Songwe RPC Mathias Nyange confirms arrest of Mbozi MP, Frank Mwakajoka but fails to state why he has been arrested. Source The Citizen
 
Songwe RPC Mathias Nyange confirms arrest of Mbozi MP, Frank Mwakajoka but fails to state why he has been arrested. Source The Citizen
Hao tumeshawazoea,kukaa jela ni sifa ya ukamanda kwenye chama chao unaonekana kweli wewe kiongozi
 
Ukiona moto msituni ujue kuna binadamu.
Lawama zote izi wapewe wanaodhani ni miungu wa yohana

Psalm 133:1 "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Nayo ilikuwa order kutoka juu ehh! Maana zimekuwa nyingi sana siku hizi.

mzee mzima haishiwi maneno
 
Back
Top Bottom