Tundu Lissu yupo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu yupo wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ThinkPad, Jul 3, 2009.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jamani hivi huyu mwanasheria mbona sikuhizi hasikiki redio wala tvoni kulikoni jamani ?
   
 2. A

  AmaniKatoshi Senior Member

  #2
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Ndugu habari za asubuhi? Unaonekana umeamka usingizini!
   
 3. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kweli ndo nimeamka tell me now
   
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa kuweka records sawa, jamaa anaitwa Tundu, na si Tindu. Ila kwa hilo swali lako, hata mimi nasubiri jibu humu.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mi Tindu Lissu namkubali sana yaani ni kichwa.
   
 6. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anaandika vitabu na kufanya tafiti kule North Mara kuhusu migodi na yupo pamoja na Viongozi wa Kitaifa wa Chadema. Anapitia mikataba ya madini.
   
 7. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Aksante sana maana niliona jiiiiiii!!!!
   
 8. Kimori

  Kimori JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2009
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona last two weeks alionekana TBC1 akielezea issue ya mgodi wa North Mara?
   
 9. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndio maana nasema kuwa yupo Mara anafanya utafiti wa Athari za sumu toka Mgodi wa North Mara na athali zake pia yupo katika ushauri wa kisheria kuhusu uchaguzi kule biharamulo
   
 10. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  AU unataka kufata umfanyie umafia wewe, kwanini uulize mtu binafsi humu?
   
Loading...