Tundu Lissu yu wapi?

Hii obsession ya kumtukana Rais katika kila thread ndiyo inayowafanya nyie wenyewe mnaochangia kuishia kutukanana na hata kuharibu hadhi ya JF. Mtoa mada wa awali aliuliza kwa nini Tundu Lissu yuko kimya muda mrefu then nyie mnamrukia JK kwa lipi? Ifike mahali watu waipe heshima JF kama jukwaa la watu kujadili hoja objectively na kuzitolea hitimisho litakaloonyesha kwamba wacahngiaji wake wana akili timamu na pengine ni watu wenye familia zinazowaheshimu.

Hii hali ya kumimina matusi ama kwa watawala au kwa wachangiaji wenye mtizamo tofauti ni dalili tosha kwamba kuna watu humu hawastahili kutoa michango yao na si vibaya wakakaa kimya kuliko kugeuza hapa kuwa kituo cha kupambanisha uendawazimu. Leo hii Mwanakijiji anasifiwa kwa umahiri wa hoja zake siyo kwa jinsi anavyogundua matusi mapya kila siku. Tuache hali hii otherwise no body will take us seriously any more na hata sisi chipukizi tutajutia kujiunga.

Umenena vyema chukua takwimu za thread uone zinaanza hupindia wapi. Nimefanya zoezi hilo; kuna kundi ambalo ni mahili kuwaondoa watu kwenye hoja za msingi kwa kuwakasirisha kwa kuwazodoa hasa cdm na kuwapamba ccm. Ukweli utabaki kuwa hao ndio wenye kutumwa kwa kuhofia ya majadiliano mazuri ya JF. Kwa sababu ni ukumbi huru si vyema kuwazuia kwa hiyo kwa upande wangu naunga mkono hata wakitukanana kwa sababu watatafuta njia mbadala wa kureconcile kama ni ethical members wa JF.

Uangalizi tu. Mimi naona wengi humu hawana stadi za uandishi kwa hiyo ni lazima kuwavumilia. Lakini wengine hawana progressive objective ya hii forum wamegeuza ni uwanja wa mipasho. Yote kwa yote mimi sina matatizo nayo kwa kuwa msafara wa mamba kenge hawakosekani.

Mimi na wewe tuko nje ya mada kwa sababu ya wapuuzi. Mada ni Tundu Lisu wapuuzi wanaingiza mifarakano ndani ya CDM lazima wajibiwe period. This is a home of GREAT THINKERS not lazy thinkers who do not read between the lines.
 
..Tahadhari tu: kuna watu humu wapo kimkakati kuharibu 'mijadala ya hoja' na badala yake kuleta matusi, kutetea watu n.k..nafikiri Mod. inabidi kuangalia upya hili. Kuhusu hoja iliyoletwa, sidhani kama ina ubaya..kwa mfano mie ningeweza kujibu hivi: wanaoweza kujibu na wenye data waeleze tu 'objectively' Tundu Lissu yuko wapi..basi!kama kuna kazi zingine anafanya, sawa. Na ni kweli kwamba si kila mmoja wao ataweza kuhudhuria maandamano....
 
Sasa tumeanza kurudi kwenye mstari! Kwa hiyo wenye kufahamu huyo Lissu yuko wapi wajibu maswali ya hao waliouliza kuhusu whereabouts zake!
 
si wabunge wote wapo kwenye kamati ya maandamano ya kanda ya ziwa .wapo watakuwa kanda ya kati.wapo watakuwa kusini wapo watakuwa kasikazini na kusini magaribi .Kuweni na subira
 
Chadema ina kazi nyingi za kufanya na kila mmoja ana majukumu yake kulingana na wakati,hivyo yeye kutoonekana katika mikutano sio tatizo bali tunatambua kuwa ana majukumu mengine ya kufanya.

Hapo tumekupata kumbe akina Mnyika hawana shughuli ndio maana wapo Kagera.

Kumbuka kuwa jimbo lake pale tandale soko la mitumba wamevunjiwa bila taarifa na yeye amedharau na kuendelea na uchochezi huko Bukoba.

Tutaona 2015 kama atapata kwa tabia hii
 
..Tahadhari tu: kuna watu humu wapo kimkakati kuharibu 'mijadala ya hoja' na badala yake kuleta matusi, kutetea watu n.k..nafikiri Mod. inabidi kuangalia upya hili. Kuhusu hoja iliyoletwa, sidhani kama ina ubaya..kwa mfano mie ningeweza kujibu hivi: wanaoweza kujibu na wenye data waeleze tu 'objectively' Tundu Lissu yuko wapi..basi!kama kuna kazi zingine anafanya, sawa. Na ni kweli kwamba si kila mmoja wao ataweza kuhudhuria maandamano....

Alikuwa kwenye msafara wa Jk uliyokwend Paris kuhudhuria mkutano
 
Join Date : 5th January 2011
Posts : 25
Thanks 0Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power : 0

JF imepoteza dira siku hizi, nashindwa kuelewa how come "Home of greatest THINKERS" could start a dialogue with the member like this" kwanini msijiulize kama ni mtu anaetaka kuwachanganya tu?? no more great thinkers in here....WAKE UP JF!!!!!
 
ukishajua yuko wapi itakusaidia nini?

majitu mengine bana?
 
Back
Top Bottom