Tundu Lissu yu wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lissu yu wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by whistle blower, Mar 5, 2011.

 1. whistle blower

  whistle blower Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ndugu zangu nauliza Tundu Lisu yuko wapi? hasikiki kwa muda sasa hata kwenye maandamano sijamsikia.
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Tundu Lisu hakubaliani na siasa za maandamano, kama vile asivyokubali Zitto na viongozi wengine wengi tu wa Chadema.
   
 3. J

  Jonas justin Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jambo usilolijua ni kama usiku wa giza...huna jipya
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ww ndiye msemaji hovyo wao
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani anafuatilia kesi yake ambayo inakaribia hukumu.
   
 6. M

  Msharika JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  :decision:ACheni unafiki! Tindu Lisu yupo kwenye shughuli maalum
   
 7. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  umbeya utaisha lini JF?
   
 8. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Cdm wako very planned. Huwezi kukuta mawakili wanajihusisha moja kwa moja ili ccm wakileta udikteta,mawakili ndo wanazama mahakamani kuitetea cdm,sipati picha kama na wao wanashitakiwa nani ataitetea cdm? Kaa ujue,cdm wamejipanda,safari hii ccm watakoma.
   
 9. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Chadema ina kazi nyingi za kufanya na kila mmoja ana majukumu yake kulingana na wakati,hivyo yeye kutoonekana katika mikutano sio tatizo bali tunatambua kuwa ana majukumu mengine ya kufanya.
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Duhhh, jipya la nini? Haya ya zamani yanatushinda!
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Kesi ipi hiyo tena? Isiwe inafanana na ile ya Silaa!
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Shughuli Maalum? Duhh! Hii unamaanisha tuipe maana sisi hata kama yenyewe haina maana?
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  Hivi nakuuliza haswa! Katika madikteta unavyowajuwa wewe na Kikwete yumo?
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Those who talk don't know,those whow know don't talk
   
 15. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Kiongozi yeyote wa CDM mwenye mustakabari mzuri na nchi huwezi kumkuta kwenye maandano ya kuchochea vurugu,wala hawana isue yoyote inayowashughulisha isipokuwa wanamshangaa mbowe anavyomfariji slaa kwa vile walimtosa yeye hakuwa na plan ya kuwa rais, sasa kachemka ndo mbowe kupitia maaskofu wanajaribu kutafuta njia ya kumpeleka ikulu, hiyo CDM mmenoa. Tafuta list ya wabunge wa CDM ambao hawapo kwenye upuuzi huo kisha soma vizuri cv zao utaona kabisa ni tofauti na lema,mbowe, na slaa. Vijana msitumiwe kama madaraja kuleta vurugu kwa kudhani ndo solution ya matatizo.
   
 16. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duuu! Kumbe humu kuna mitusi kiasi hiki! :hand:
   
 17. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mkuu ndio kikwete ni dikteta. Amezingatia vigezo vya udikteta vya kutosha. Mkuu una wasiwasi na ilo?
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hili swali ulitakiwa umuulize dada yako. Eti Tundu Lissu kamficha wapi?
   
 19. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo ulitegemea kuona kwenye maandamano yote ya CDM wabunge wote wa chama hicho wawepo? Kweli baadhi ya akili zimeziba mpaka zinataka zizibe akili zingine makini
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Ingependeza sana kama maneno haya ungemwambia mkwere kwamba hana haja ya kukimbia nchi kila siku kwa sababu CHADEMA haina sapoti ya umma. badala ya kwenda kutafuta hifadhi ya kukimbilia umma utakapoamuwa aje alikubali tatizo, kwani kulijuwa tatizo na kulikubali ni nusu ya solution, Watanzania wako tayari Rais awe hata Yusuf Makamba, lakini awatekelezee mahitaji yao ya msingi. na ukitaka kujuwa ukweli wa hili, kama wewe sio kula kulala na una mke, hebu acha kumpa mahitaji yake ya msingi yeye na watoto uone kama kama hiyo nyumba itakuwa na furaha na amani.
   
Loading...