Tundu Lissu: Watanzania wanaoogopa mapigano bungeni ni washamba

Wapigane tu kwa ajili yetu, mbona tumeona na mabunge ya wenzetu pia wanapigana????
 
“Watanzania kunaogopa wabunge kupigana kwenye vikao vya bunge ni ushamba” hayo alisema Mwanasheria mkuu wa Chadema wakati alipohojiwa na mtangazaji wa Star TV wakati alipowasili mjini Dodoma jana tayari kwa kikao cha bunge.
Lissu is a loud mouthed un guided missile.
Na atajilipukia mwenyewe muda si mrefu, akumbuke tu ule mchozi aliomwaga walipo mkosa kosa jimboni kwake.
 
mimi ninafikilia alikuwa anamaanisha ni washamba wa siasa za namna hiyo.yakwamba baadaye watanzania wataelewa kuwa kwanini watu walikuwa wanapigana bungeni.
 
Sasa Mb. kama Wasira na Lukuvi bila kupiga ngumi unafikiri watakuelewa?
Wacha wazichape ili wajue wananchi tunaasira na hatutaki tena propaganda zao.
 
Naungana na Prof Baregu kwamba huyu jamaa anatakiwa kudhibitiwa.
Chadema kila kiongozi anakula kwa urefu wa kamba yake. Tundu Lissu anakula kwa kusimamia kesi za Chadema hivyo pakiwa hakuna vurugu yeye hana soko.
 
Back
Top Bottom