Tundu Lissu: Wanaosema turudi kwenye mfumo wa chama kimoja hawajui walisemalo, Mungu awasamehe bure

Je CDM hakuna ukikwaji wa maadili katika teuzi mbalimbali? Mi naona katika suala la uteuzi vyama vyote nchi vinatatizo hilo. Hata vitapo shika dola vitafanya hayohayo. Hebu leteni hoja za kimaendeleo acheni siasa majitaka.

..cdm wakikiuka maadili tunapaswa kuwakemea.

..suala hili halitakiwi liwe la ccm vs cdm.

..tunatakiwa tukemee ukiukwaji wa maadili popote ktk jamii yetu.

..maadili na maendeleo ni sawa na chanda na pete. Tusitegemee kupiga hatua za maendeleo ikiwa viongozi wetu hawana maadili.
 
Mkuu nadhani sote tunatambua kua ccm ni chama dola na chama tawala, ccm ndio chama kinachoongoza serikali well fine labda tukubaliane kwa uamuzi wao wa kumpiga china lowasa na membe je huyu waliotupatia walimuandaa? kwa kutumia vyombo vyao walifanya utafiti wa kina na kujua Nchi itabaki katika mikono salama au walifanya hivyo ili kuzuia mafuriko?
sijawaongelea ukawa kwakua hata kakma wali au wangeshinda kwa jinsi ccm ilivyojipenyeza kwenye vyombo vyote vya dola wasinge na hawajapewa dola. swali linabaki pale pale vyombo vya ulinzi na usalama vilitekeleza wajibu wao katika kuwachunguza wote waliokua wanagombea nafasi ya juu kabisa ya kuongoza nchi?
Mkuu hunijibu nilichokuuliza hatakimoja.
Hayo unavosema hapo nimekuelewa ila hoja yangu hunijibu mkuu.
 
Mkuu hunijibu nilichokuuliza hatakimoja.
Hayo unavosema hapo nimekuelewa ila hoja yangu hunijibu mkuu.
mkuu najua jibu unalo ingawa unasisitiza nikupe majibu yako kwanza kabisa lazima uwajue vizuri chadema ni akina nani na wanaendesha vipi siasa zao, chadema hawana na hawajawahi kuongoza dola, hawana polisi, hawama usalama wa taifa wala jeshi na pia walicheza karata ya kamari kwa kumchukua lowasa na kuumanisha umma kua lowasa si fisadi, je nini kiliwavutia chadema kwa lowasa? kwanza kabisa ni nguvu ya pesa na ushawishi aliokua nao ndani ya ccm na katika jamii ya wafanya biashara wakubwa, na uhakika kabisa mbowe na chadema walimtumia lowasa kama mtaji wa kupata kura nyingi za ubunge na mabilioni yake katika kuendesha kampeni zao na biashara zao na thats why walimtoa kafara dr Slaa na kumsifu lowasa kwa nyimbo na mapambio, hali hiyo mimi naiita ni win win methodology which means ilikua na faida kwa chadema na kwa lowasa pia kwakua ataishi kwa amani na wale waliokua wanamtukana, mdhihaki na kumdhalilisha ndio hao hao waliopewa kazi ya kumsafisha na kumtukuza kua sio fisadi na ni mtu safi.. hivyo basi chadema chini ya mbowe na gwajima hawakua na cha kupoteza kwani walikiri kua wapo tayari hata kuungana na shetani ili tu waeze kuitoa ccm madarakani therefore hawakua na sababu ya kumchunguza au kumuandaa lowasa kwakua alikua ni mgombea wa dharura na wao walijua fika ccm hawatakua tayari kumpa nchi lowasa over their dead bodies... na ndio maana lawama na tuhuma zangu zote nawapa ccm hivi kweli waliona huyu ndio anaweza kutufikisha katika nchi ya ahadi je walifuata au wanautaratibu wa kuwachunguza wagombea wao hasa katika taasisi nyeti ya urais kuanzia upeo wa akili, busara, uvumilivu, unyenyekevu, utu, elimu pampoja na unasaba wa wahusika?
kwanini nailaumu ccm? jibu ni lepesi sana wao ndio watengeneza fitna na mipango ya kumpata rais iwe kwa wizi wa kura, propaganda na ikibidi hata kutumia vvyombo vyao vya ulinzi na usalama ikumbukwe Rais ndie anawateuwa watendaji wakuu wa taasisi hizo na pia yeye ndie mwenyekiti wa chama hicho tawala...
nadhani nimeeleweka.
 
Nimekuelewa vizuri mkuu.
 
Anaandika Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu

Nilikwenda kushuhudia siku anatoa maelezo polisi. Walikuwa wanadai Juve ndiye aliyeandika ujumbe juu ya mpango wa kumuua Mh. Lema lakini hawakuwa na ushahidi wowote zaidi ya kwamba alikuwa member wa grupu mojawapo lililopokea ujumbe huo.

Wanajua hawana grounds za kumkamata wala kumshtaki kortini. Sasa wanamtesa tu kwa sababu ni mwanachama wa CHADEMA. Hivi ndivyo ulivyo utawala wa kidikteta wa JPM. Huyu anayejenga uwanja wa ndege mkubwa kwao bila haya yoyote sawa na Mobutu Sese Seko.

Huyu aliyeweka taa za barabarani katika Kijiji cha Chato wakati hazipo katika miji yote jirani kama Geita, Kahama, Bukoba, Kigoma, n.k. Huyu anayejenga ofisi ya TRA yenye ghorofa mbili kijijini kwake Chato wakati Kijiji hicho hakina mapato yoyote ya maana ukilinganisha na mji jirani wa Katoro.

Huyu aliyejenga jengo kubwa la MSD Kijiji cha Chato wakati Makao Makuu ya Mkoa hakuna duka la MSD. Huyu aliyemwajiri mpwa wake Dotto James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali ili watumie pesa za Serikali wanavyotaka bila kufungwa na taratibu za fedha za umma.

Ndio maana anakamata na kutesa wapinzani. Ndio maana hataki mikutano ya kisiasa ya vyama vya siasa. Ndio maana anataka kuua mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini. Wale wanaosema turudi kwenye mfumo wa chama kimoja hawajui walisemalo na Mungu awasamehe bure.
Duuuuuh, kumbe Chato ni kijiji
Teh teh teh teh teh teh teh teh....
 
wapinzani wabadilike siasa za chuki zimepitwa na wakati, mm sioni kama raisi kujenga uwanja chato ni kosa kwasababu huko nako ni tanzania nako wanahaki ya kuw na miundo mbinu mizuri ukizingatia geita ni mkoa mpya.
Mkuu vipaumbele kuna miji ambayo ina fursa za kiutalii na biashara kwanni wasijenge airport huko na wanaweka chato as if kuna kichocheo cha utalii au uchumi huko ili watu wamiminike ..... ????
 
Unapajua Chato wewe au unakurupuka kuandika? kule raisi aliweka taa za barabarani gari moja inapita kwenye barabarani baada ya dakika 46 zile taa aliweka za nini?Huo uwanja wa ndege atautumia nani huko kijijini chato?
Wewe kinacho kusumbua ni wivu wa kisiasa na zaidi ni wivu wa kike. Acha TZ ipanuke, wanao ishi huko nao watafaidika hapo badao. huo ni uwekezaji wa mda mrefu. usitake kila kitu kiwekwe Dar. Tulizana sindano ikuingie.
 
Uwe unajiongeza basi uwanja wa ndege mkubwa Chato nani atautumia huko kijijini?
 
Back
Top Bottom