PreGE2025 Tundu Lissu: Vyombo vya Habari havitendi haki kwa Vyama vya upinzani, vyote vinakuwa vya CCM

PreGE2025 Tundu Lissu: Vyombo vya Habari havitendi haki kwa Vyama vya upinzani, vyote vinakuwa vya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
By John Graves - Establishment journalism is dying. Independent journalism -- a journalism NOT based on corporate backing and high salaries -- is thriving. Journalism is NOT a place to get rich...it never should have been.


Journalism is dying-will democracy go with it? | The Chris Hedges Report

View: https://m.youtube.com/watch?v=kf7_lxkCjfg
Pulitzer-winning reporter Gretchen Morgenson joins The Chris Hedges Report to discuss the crisis in media
Source : The Real News Network
 
Tundu Lisu Mungu akubariki
biblia inasema "Nanyi mtaifahamu kweli,na hiyo kweli itawaweka huru.''
Huyo ndugu balilwe umempa fact ambayo na yeye mwenyewe anaijua ila nadhani kuna mahali wamezima data.
Endelea kuusema ukweli tunakuelewa.
 
Ukweli mtupu!
Sasa ujue miongonii mwao wamejaa chawa wa chama twawala,anatongea mmoja anadai awaombe radhi badala wao wawaombe radhi watanzania kwa kukubalikutumika kuwahujumu watanzania.
 
Back
Top Bottom