Sidhani kama vikwazo vinatolewa kwa urahisi hivyo."Serikali" ingetafuta truthful discussion na Ndg. Lissu sababu hakuna faida yeyote tukianza pata vikwazo kipindi ambacho misingi mipya ya kiuchumi ikijengwa.
Kiswahili Kiranga maana yake ni kimeo hongera Kiranga
Kama JPM angeruhusu wanasiasa wa upinzani waikosea serikali bila kutishwa kwa mambo mazuri anayofanya kimaendeleo angepata matokeo chanya zaidi kwenye agenda zake!Hii ni kauli alioitoa Tundu Lissu wakati akihojiwa huko Marekani na kituo kimoja cha Radio ambapo amesema hearing hiyo itaanza hivi karibuni na kwamba atakutana na baadhi ya viongozi hao kesho.