Tundu Lissu: Viongozi wa Bunge la Marekani kuanzisha "hearing" on human rights situation in Tanzania

In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????
 
Hii ni kauli alioitoa Tundu Lissu wakati akihojiwa huko Marekani na kituo kimoja cha Radio ambapo amesema hearing hiyo itaanza hivi karibuni na kwamba atakutana na baadhi ya viongozi hao kesho.
Mungu alimnusuru TAL kwa kusudi maalum, haiwezekani ukapigwa risasi 16 na ukaendelea kuishi, lazima Mungu anahusika kwa asilimia 100.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
Anacho sema T.A.L ni ukweli mtupu wazungu husema. This is naked truth

God time is the best
 
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????
Unaongea kama vile una miadi na Mungu au kwamba Wewe ndiye mwamuzi wa nani awe kiongozi wa Watanzania. Nimemsikiliza Tundu Antipas Lisu, hakika anafaa kuwa Rais wa Tanzania. Ana hoja na maono ya karne ya 21, siyo kama hawa wenye mawazo ya kuturudisha miaka ya 47. Mwenyezi Mungu akiamua Lisu anastahili, japo Yeye haangalii kama binadamu.
 
Mh! Mwambien Jiwe aende kule akamjibu Lissu...
Maana Yule barozi hasiejielewa ameshindwa kujibu..kawa mdogooo mpaka anatia huruma
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
COOL DOWN !! Vuta pumzi ndeefu kwa kutumia pua halafu itoe kwa kutumia mdomo hii itafanya oxygen nyingi iende kwenye ubongo na hivyo kukupungizia hofu . may budha bless you.
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????
 
In a real SENSE hivi kweli HAYO LISSU anayo yasemea huko KWA WAZUNGU yana exist TANZANIA?????
hilo BUNGE limeshindwa kweli kufanya HEARING juu ya SAUDI ARABIA kuhusu kifo cha KASHOGGI????
lissu AWE MKWELI TU kuna ajenda ya siri juu yake na hawa WAZUNGU sitaki kuamini TANZANIA inayo semewa na LISSU kimataifa ndivyo ilivyo, HAPANA SI KWELI HATUJAFIKIA HIVYO......
HAPA TUKUBALI TUKATAE LISSU sasa ni CHAMBO KWA HAWA WAZUNGU juu ya MUSTAKABLI WA TANZANIA YETU jaama kaamua kabsa kujiuza kwa hawa WAZUNGU and they are going to use him ipasavyo.......
SERIOUS THIS IS THE POINT NASEMA HUYU JAMAA NI MTU HATARI SANA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.....
LISSU CCM inaeza ondoka madarakani but kamwe hauwezi ukawa RAISI WA NCHI HII....HAO WAZUNGU UTAWALIPA NINI UKIWA RAISI WA NCHI HII?????
Kingine lissu hana aim ya kuwa rais hebu jaribu kuzoom tena kwenye future.
 
Back
Top Bottom