Tundu Lissu: Viatu vya Dk. Slaa vikubwa

Tundu Lissu: Viatu vya Dk. Slaa vikubwa

WENGINE WALIPATA ZERO,WENGINE WALIKUWA WEZI WA MAGARI NA WENGINE WANA ELIMU ZA HAPA NA PALE.WAFUASI WETU WENGI NI MATEJA NA WANAFURAHIA SANA ILE SERA YETU YA MILO MITATU.
Jizi namba moja ni GODBLESS LEMA. Hili ni tapeli la kutupwa yeye na familia yake
 
Pamoja na kujipa moyo juu ya uendeshaji wa chama baada ya Dr. Slaa kujiuzulu kutokana na kushindwa kumsafisha Lowasa katika kipindi cha uchaguzi.

Tundu Lisu ameeleza wazi kuwa kiatu cha Dr. Slaa ni kikubwa kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao ukilinganisha na ambao wanatarajia kushika nafasi yake.

Ni ukweli usiopingika kwamba Dr. Slaa alikuwa na uwezo mkubwa wa kukiendesha chama na ulikuwa na ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi.
Tunamsubiri Mh. Mbowe a.k.a DJ atuchagulie katibu maana ndiye mwenye chama.
Naomba kuwakilisha.

Mbowe a.k.a DJ ndiye aliyemteua Dr. Slaa kwa nafasi hiyo jambo linaloonyesha huyu jamaa anajua kutambua vipawa vya watu.
DJ Mbowe anahusishwa kuwaibua kutoka walipokuwa kina Mnyika, Zitto, Kigaila, Mwalimu, Mdee na wengine.
Kwa CV hiyo bila shaka inatuambia ana uwezo wa kupata Katibu Mkuu mwingine kufaa mazingira ya siasa za sasa na hapaswi kuwa kama Dr. Slaa.

Kwangu mimi nikitazama siasa za Tanzania kwa zaidi ya muongo mmoja sasa, Mbowe anasimama juu ya wanasiasa karibu wote kwa umahiri.....
 
Ndo sababu wengi humu ni wajinga ingawa wanajiita Ma GT. Ukisoma maelezo ya Lissu ukalinganisha na michango ya wengi utagundua hoja za kijinga zilizojaa ushabiki badala ya mantiki.
Hakuna popote aliposema Lissu kwamba hakuna mwenye uwezo wa kujaza nafasi ya Katibu Mkuu ndani ya CHADEMA! Anachokisema Lissu ni sifa za mtu anaetakiwa kuwa Katibu wa Chama.
Dr. Slaa kuwa na uwezo haina maana alikuwa malaika asie na mapungufu, alikuwa nayo, tena mengi na ya hatari, kuna wakati tena sio mara moja mapungufu yake yalimezwa na uimara wa CHADEMA.
Ikumbukwe kwamba huyu hakuanzisha CHADEMA, alikuta chama kikiwa imara na ndio sababu kati ya vyama vyote alichagua kukimbilia CHADEMA baada ya kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CCM.
Ni sahihi kusema alikuja na ameacha mchango mkubwa ndani ya CHADEMA. Ni sahihi pia kusema CHADEMA kilimjenga na kumtangaza pia Dr. Slaa. Lkn mwisho wa siku hakuna aliye juu kuzidi chama.
Chama chochote hakiwezi kuwa chini mwanachama wake akawa juu, hili ni kwa vyama vyote.
Kumfanya mwanachama kuwa ni bora kuliko chama ndiko kulikoifikisha CCM hapa ilipo leo. Mfano mzuri tumeuona wakati wa uchaguzi, kwamba ilifikia mahali Mgombea Urais wa CCM kujitenga na chama, na kuwaomba wapiga kura wamchague yeye na sio chama chake!
Kwa umakini walionao CHADEMA, naamini atapatikana Katibu Mkuu makini kama ilivyokuwa kwa Slaa.
Muhimu watu wafahamu kwamba ni Mwenyekiti wa CHADEMA ndiye anapaswa kuwa makini kabla hajatamka jina la Katibu anayefaa. Sote tunaufahamu uwezo wa Mbowe, bila shaka atafanya hivyo kama alivyofanya kwa Dr. Slaa! Tusubiri!
 
8485_1023665931031198_6203437645497960529_n.jpg

!
!
Wangeweka wazi tu ni namba ngapi hivyo viatu kwa sababu tupo pia wenye miguu mikubwa tu huenda zaidi yake.
 
Ni weli mkuu, Lissu amesema ukweli ila watu, baadhi ya watu hasa wasiopenda upinzani na wenye uelewa mdogo wanamsoma nusu nusu na ndo maana michango yao pia ipo nusunusu.
 
hahahahaha!!!!! ndio basi tena hakuna namna..... mwekeni sumaye soon atatoka katika taasisi ya moyo ambayo ni juhudi za JK maana amebaki kusifia tu huduma nzuri .. amesahau ni juhudi za nani mpaka ikapewa jina lake ....
 
Kila kiatu ni kikubwa ama kidogo inategemea unakilinganisha na kiatu kipi.

So aseme hivyo viatu vya Slaa ni vikubwa kuliko vya nani na huo ukubwa ameubaini lini.

Huyu jamaa naye atakuja kutimuliwa na kashfa kibao zitasemwa juu yake just the matter of time.

BTW:Ukitaka kujua thamani ya ulichonacho kipoteze na ukitaka kujua umuhimu wa matak.o unakalia kichwa.
 
Kukubali ukweli ni kuyumbishwa!?!

Angalau Lisu nampongeza kwa Leo amekubali ukweli then tunaanza kazi ya kumtafuta katibu sasa

Utakuwa umechelewa sana katibu alishachaguliwa kitambo bado kutangazwa rasmi tu ilikuwa sehemu ya reconciliation baada ya kumpokea EL. Hizi sasa ni kuwaweka watu sawa ili jina likitangazwa kusiwe na wakupinga. JF humu toka August 2015 walitgupia kila kitu, na kazi ya kuchagua katibu wewe haumo kabisa.
 
Muhimu ni kwamba Tundu lisu anakubali kwamba Dr Slaa ni zaidi ya wote waliopo Chadema kwa sasa kuweza kuvaa viatu vyake, muhimu ni kukaa kama Chama kwa maslahi ya Tanzania kuondoa tofauti za wakati wa uchaguzi, mbona CUF wanamtumia Prof Lipumba wahenga walisema "yaliyopita si ndwele tugange yajayo" acheni kuwasikiliza wafuasi maslahi. Ni kweli kwamba Lowasa ni FISADI kumtukana Dr Slaa haiondoi ukweli.
 
Ndo sababu wengi humu ni wajinga ingawa wanajiita Ma GT. Ukisoma maelezo ya Lissu ukalinganisha na michango ya wengi utagundua hoja za kijinga zilizojaa ushabiki badala ya mantiki.
Hakuna popote aliposema Lissu kwamba hakuna mwenye uwezo wa kujaza nafasi ya Katibu Mkuu ndani ya CHADEMA! Anachokisema Lissu ni sifa za mtu anaetakiwa kuwa Katibu wa Chama.
Dr. Slaa kuwa na uwezo haina maana alikuwa malaika asie na mapungufu, alikuwa nayo, tena mengi na ya hatari, kuna wakati tena sio mara moja mapungufu yake yalimezwa na uimara wa CHADEMA.
Ikumbukwe kwamba huyu hakuanzisha CHADEMA, alikuta chama kikiwa imara na ndio sababu kati ya vyama vyote alichagua kukimbilia CHADEMA baada ya kuchoshwa na ubabaishaji ndani ya CCM.
Ni sahihi kusema alikuja na ameacha mchango mkubwa ndani ya CHADEMA. Ni sahihi pia kusema CHADEMA kilimjenga na kumtangaza pia Dr. Slaa. Lkn mwisho wa siku hakuna aliye juu kuzidi chama.
Chama chochote hakiwezi kuwa chini mwanachama wake akawa juu, hili ni kwa vyama vyote.
Kumfanya mwanachama kuwa ni bora kuliko chama ndiko kulikoifikisha CCM hapa ilipo leo. Mfano mzuri tumeuona wakati wa uchaguzi, kwamba ilifikia mahali Mgombea Urais wa CCM kujitenga na chama, na kuwaomba wapiga kura wamchague yeye na sio chama chake!
Kwa umakini walionao CHADEMA, naamini atapatikana Katibu Mkuu makini kama ilivyokuwa kwa Slaa.
Muhimu watu wafahamu kwamba ni Mwenyekiti wa CHADEMA ndiye anapaswa kuwa makini kabla hajatamka jina la Katibu anayefaa. Sote tunaufahamu uwezo wa Mbowe, bila shaka atafanya hivyo kama alivyofanya kwa Dr. Slaa! Tusubiri!

Kula tano. Kweli wewe ni GT.
Wachangiaji wengi wanajisahaulisha kuwa tatizo la Chadema na Dr Slaa halijawahi kuwa kuhusu uwezo wake wa kukiongoza chama kwa nafasi ya Katibu Mkuu ila kutanguliza mambo ya ndoa na shauku ya kugombea Urais at the expense ya maamuzi halai ya chama
 
Tatizo la Lissu nikuchanganya siasa na taalum na hivyo kuna wakati anaacha kusema iliyo kweli na kusema isiyo halisi mara nyingine kukifurahisha chama. Sababu ni mkubwa ni kwamba kwa kusema ukweli angepingana na maamuzi ya chama.
Lakini dhamira yake ndani ya moyo wake inakuwa inamsuta. Kwa taaluma na asili siyo mtu mwenyekauli mbili. Haingewezekana kusema Lowassa ni A kesho aseme ni B. Hiyo siyo hulka yake tunamfahamu. Dr Slaa alisema " the is one and indivisible. " Hicho ndicho kinachomsumbua Lissu maana na Mkweli na Ukweli anaujia. Alimwita Dr Slaa muongo lakini moyoni alijua kuwa yeye mwenyewe anasema anasema uongo. Kitu kizuri kwa Lissu mtii hivyo anamwachia Mwenyekiti aseme amtangaze Katibu ingawa ni dhahiri kuwa Kiatu cha Dr
 
mbowe anachoweza kikubwa ni kuchukua mabaki ya ccm kuanzia wakina Dr. Slaa wote aliwapata baada ya kutopitishwa na ccm vinginevyo sioni cha ziada umekuwa mwenyekiti wa chama zaidi ya miaka kumi na bado unashindwa kumwandaa mgombea urais mpaka unasubiri atemwe na chama tawala halafu unajisifu
 
Mwanasheria Mkuu
wa Chadema, Tundu Lissu amesema
ni vigumu kuziba pengo la Dk
Willibrod Slaa kwenye nafasi ya
katibu mkuu wa chama hicho, kwa
kuwa “viatu vyake ni vikubwa”,
hivyo anahitajika mtu mwenye
uwezo wa kuvivaa na kumuenea.
Lissu alisema hayo alipoulizwa na
Mwananchi kuhusu taarifa kuwa
Waziri Mkuu wa zamani, Frederick
Sumaye atachukua nafasi ya katibu
mkuu wa Chadema iliyoachwa wazi
na Dk Slaa, ambaye alijivua
madaraka na kujiuzulu siasa za
vyama Julai mwaka jana.
Dk Slaa, ambaye alishapitishwa
kugombea urais kwa tiketi ya
Chadema, alijiondoa kwenye chama
hicho akipinga uamuzi wa
kumkaribisha Waziri Mkuu wa
zamani, Edward Lowassa na muda
mfupi baadaye kumpa fursa ya
kugombea urais.
Tangu wakati huo, nafasi ya Dk Slaa
imekuwa ikikaimiwa na Salim
Mwalimu, ambaye ni naibu katibu
mkuu wa Chadema Zanzibar.
Akijibu swali hilo, Lissu alisema
kiutaratibu, mwenyekiti wa
Chadema anatakiwa kuangalia mtu
anayefaa na kupendekeza jina lake
kwenye Baraza Kuu ambalo hufanya
uamuzi.
“Nafasi hiyo lazima ijazwe,
mwenyekiti ataangalia mambo
kadhaa, ikiwamo katibu mkuu kuwa
na uwezo wa kuweka heshima ndani
ya chama. Lazima (katibu) awe mtu
ambaye akisema kitu chama
kinasikiliza na nchi inasikiliza, pia
awe mtu anayekifahamu chama
vizuri,” alisema Lissu.
“(Katibu) anapaswa kuwa na uwezo
wa kuvaa viatu vya Dk Slaa ambavyo
si vidogo, ni vikubwa kwelikweli.
Kama atakuwa Sumaye itakuwa
sawasawa na ikiwa mtu mwingine
itakuwa sawasawa pia,” alisema
Lissu.
Alisema nafasi ya katibu mkuu ni ya
kukimbia kimbia, hivyo anahitajika
mtu anayeweza kukimbia.
Dk Slaa alijiondoa CCM mwaka 1995
baada ya jina lake kuondolewa
kwenye kinyang’anyiro cha ubunge
wa Jimbo la Karatu licha ya kushinda
kura za maoni, akajiunga na
Chadema ambayo ilimpa fursa ya
kugombea na akashinda ubunge.
Alishinda tena kwenye chaguzi za
mwaka 2000 na 2005, kabla ya
Chadema kumpitisha kugombea urais
mwaka 2010.
Baraza la Mawaziri Kivuli
Akizungumzia muundo wa Baraza
Kivuli la Mawaziri ambalo huundwa
na kambi ya upinzani bungeni, Lissu
alisema litakuwa lile linaloweza
kuisimamia kikamilifu Serikali
iliyoko madarakani.
Alisema itakuwa vigumu kwa kuwa
muundo wa wizara kama ya Mambo
ya Nje ambayo pia inashughulikia
Mambo ya Afrika Mashariki na
Kikanda, kwenye bajeti kwa kuwa
tayari wizara mbili zimekuwa moja
hivyo haieleweki kama bajeti yake
itakuwa moja au mbili.
Alisema itakuwa ngumu zaidi kwa
upinzani kwa kuwa kwenye Kanuni
za Bunge hotuba za upin ani za
bajeti zinasomwa kwa nusu saa,
hivyo kupata muda wa kuzungumza
masuala mengi ndani ya nusu saa
haitawezekana.
“Tutajikuta hatufanyi kitu. Muda wa
kujadili mambo ya Serikali bungeni
utakuwa mdogo kama kanuni
zitabaki hizihizi za sasa,” alisema
Lissu ambaye ameteuliwa na Spika
kwenye kamati ya kuboresha kanuni
za uendeshaji Bunge.
Lakini akawataka wananchi
kutegemee upinzani moto zaidi.
Lowassa ni mali
Akijibu swali kuhusu umuhimu wa
aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi
ya Chadema, Edward Lowassa baada
ya kumalizika kwa uchaguzi huo,
Lissu alisema mbunge huyo wa
zamani wa Monduli amefanya kazi
kubwa.
“Mwaka 2010 tulikuwa wabunge 94
upinzani wote, hivi sasa ni wengi.
Haijawahi kutokea tukafikisha
theluthi moja, lakini tutafika, hivi
sasa tumekosa wabunge wachache.
Wote hao ni wabunge wa Lowassa na
Lowassa ni Ukawa,” alisema Lissu
tofauti na Dk Slaa ambaye alionyesha
shaka kama Lowassa ni mzigo au
mali kwa chama hicho.
Lissu alisema Lowassa ameiteka Dar
es Salaam kwa kuwa tangu upinzani
uingie nchini haujawahi kulishika jiji
hilo. Pia, ameteka majiji mengine
matatu ambayo ni Mbeya, Tanga na
Arusha.
“Lowassa amefanya kazi kubwa
kushinda kwenye majiji hayo. Pia
Zanzibar kwa upande wa Unguja
kwa mara ya kwanza upinzani
umepata wabunge tisa. Tumepunguza
kura za wabunge wa CCM hasa wa
viti malumu,” alisema Lissu.
 
Bora kaona hilo
Pengo la dk slaa ni kubwa sana.

Endeleeni kujifariji lakin uhalisia ni huo

Sumaye hawezi mchakamchaka kama ule aliokua akifanya babu.
 
Back
Top Bottom