singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Huenda jamii yakoHuyo Tundaman kibaraka na kuwadi wa mafisadi tamaa zikimponza. Heshima yake imeshuka sana mbele ya jamii kiasi kwamba ata akiongea hakuna anayestuka.
Kukubali ukweli ni kuyumbishwa!?!Naona Wana lumumba mnajua sana kutunga story za uongo na msizozijua...hayo magazeti ya makada wa chama chenu hayatubabaishi sisi Waelewa. Teh Teh Teh...
Hata mimi nimeona hilo. Lissu huyu huyu alimponda sana Dr. Slaa wakati Lowassa anaingia, leo anamuona wa pekee. Bingwa wa vigeugeu.Lissu anautaka ukatibu Mkuu
Kama vile;Kilichoibeba chadema ni dhana ya kuwa ni chama cha wasomi. Lakini sasa ukweli umedhihiri, chadema ni chama cha wasomi wenye elimu ya hapa na pale.