Tundu Lissu usisumbue watu Serikali ya CCM imetekeleza elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne bure

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Ninawakumbusha watanzania waishio nje ya Tanzania hususani Amerika na Ulaya ya kwamba kwa sasa serikali imeweza kugharamia elimu kwa watoto wetu kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne bure.

Pia shule hizo za serikali zimeweza kutoa wanafunzi bora katika mitihani wamechomoza katika shule hizo.

Kama ni matibabu yasiyopatikana nchi Sawa asaidiwe Ila suala la elimu watoto wanaweza kusoma katika shule hizi za kawaida na wakawa bora.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..watoto wanaandikishwa shule lakini hawajifunzi.

..viwango vya elimu hapa Tz viko chini sana.

..ni aibu kwamba miaka 57 tangu tupate uhuru tunazungumzia idadi ya wanafunzi badala ya ubora wa elimu inayotolewa.
 
Yeye kama Mbunge asipopeleka wanawe huko atafikiri kila mtu anahitaji maandamano kumbe anatakiwa awe mwanaharakati wa elimu za watoto wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Ninawakumbusha watanzania waishio nje ya Tanzania hususani Amerika na Ulaya ya kwamba kwa sasa serikali imeweza kugharamia elimu kwa watoto wetu kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne bure.

Pia shule hizo za serikali zimeweza kutoa wanafunzi bora katika mitihani wamechomoza katika shule hizo.

Kama ni matibabu yasiyopatikana nchi Sawa asaidiwe Ila suala la elimu watoto wanaweza kusoma katika shule hizi za kawaida na wakawa bora.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyonyesha mwanao akue vizuri uje umsomeshe hizi shule zenu za bure
 
Yeye kama Mbunge asipopeleka wanawe huko atafikiri kila mtu anahitaji maandamano kumbe anatakiwa awe mwanaharakati wa elimu za watoto wetu

Sent using Jamii Forums mobile app

..katika siasa ni makosa kushambulia mke/mume, watoto, na wazazi, wa wapinzani wako.

..nilimsikia Dr.Bashiru akihutubia na kutaja watoto wa TL nikasikitika sana.
 
Back
Top Bottom