James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Lissu kila mara amekuwa akilia suala lake la kushambuliwa limetupwa na hakuna yeyoto aliyekamatwa wala kuhojiwa na jeshi letu la polisi,
Lakini tangu mfanyabiashara Mo alipopotea jeshi la polisi limeonyesha umakini na weledi mkubwa wa kufanya shughuli zake,japo mtu amerudi lakini inaonekana ni baada ya ile press na watekaji kuona mambo yao yamewekwa hadharani na muda wowote watatiwa mkunjani,
Lissu ni muda wako kuliamini jeshi la polisi na uje na huyo dereva wako mfanyiwe mahojiano utoe ushirikiano mzuri tu,natumaini kipindi kile nissan nyeupe zilikamatwa lakini zoezi la utambuzi lilishindikana baada ya dereva amabaye angekuwa ni msaada mkubwa mkamuingiza kwenye siasa,
Natumaini kama Lissu utarudi leo na kuwapa polisi ushirikiano wasiojulikana watajulikana!
Wewe unaongea ujinga. Huyo dereva anaweza kuhojiwa hata kwa njia ya video call. Kwa ujinga unaouongea nakuvisha shanga ya kiunoni 😉