Tundu Lissu( TL ) kurudi Tanzania mwaka huu!!

Kikao kilichofanyika Germany ,Berlin tarehe 12/4/2019. Kwa kinywa chake amesema atarudi bongo mapema tu mwaka huu! Kuendeleza mapambano dhidi ya uminywaji wa haki za binadamu na democracy Tanzania!

Mapambano oyee

Sent using Jamii Forums mobile app
Report ya CAG ameipata kweli?
Sijamsikia akiichambua au nae dhaifu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikao kilichofanyika Germany ,Berlin tarehe 12/4/2019. Kwa kinywa chake amesema atarudi bongo mapema tu mwaka huu! Kuendeleza mapambano dhidi ya uminywaji wa haki za binadamu na democracy Tanzania!

Mapambano oyee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashauri Arudi wakati wa campign itakua garama kubwa sana kumlinda maana ni hatari kwa watawala..anaweza kupata kura nyingi sanaaa za huruma ikashindikana kubadilisha matokeo. Watu wengi wanamuonea huruma.
 
Kikao kilichofanyika Germany ,Berlin tarehe 12/4/2019. Kwa kinywa chake amesema atarudi bongo mapema tu mwaka huu! Kuendeleza mapambano dhidi ya uminywaji wa haki za binadamu na democracy Tanzania!

Mapambano oyee

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hatakati zake huko kwa mabeberu zimezaa matunda.

Tatizo huyu jamaa huwa anajiona yeye ndiye pekee ana akili zaidi kushinda watanzania wote.
Ana katabia pia ka kushambulia mtu badala ya kujenga hoja.

Hapo ukimuuliza akipewa nchi atajenga uchumiwa mlengo upi au aina gani utashangaa anajibu.....UNAJUA MAGUFULI HAJUI UCHUMI..
 
Back
Top Bottom