Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, the man who saw yesterday

Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Na wapenda haki tulio wengi tutamchagua Tundu Lissu kipenzi cha watanzania wapenda haki, Yule mropokaji na mdhalilishaji wa wanawake atapigiwa kura na walamba matako tu.
 
Na wapenda haki tulio wengi tutamchagua Tundu Lissu kipenzi cha watanzania wapenda haki, Yule mropokaji na mdhalilishaji wa wanawake atapigiwa kura na walamba matako tu.
1603399192837.png
 
Tundu Lissu knows yesterday, he also sees tomorrow with clear vision.
Magufuli is ignorant of the past and is completely blind of how the future should be!
Yeah vitu hivi vimewekwa pembeni. Ukweli, haki, amani na uhuru kwa kusema ushindi ni lazima. Ushindi unatazamwa palee mbele.
Hata Mwinyi aliyeaminika anawataka wakampigie kura tarehe 27! The future of these people is ushindi kwa gharama yoyote!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi ambaye tayari amebeba mzigo wa kuwatumikia watanzania kwa kutoa upeo wa uongozi chanya na kujitoa sadaka kwa watu wake. Huyo si mwingine bali jemedari Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
Tafuteni kazi nyingine ya kufanya,hizo pambio zenu za kushibisha matumbo yenu mwisho mwezi huu
 
Tanzanians are counting 6 days to casting their votes later Wednesday next week.

So far the political rallies/campaigns have seen peaceful atmosphere allover the country. Two political figures have chiefly dominated this year's campaign. This is Mr. Lissu and president Magufuli who is seeking for a second term in office.

Mr. Lissu, in all spheres of political assessment, is purely a man who saw yesterday. On contrary, his counterpart, President Magufuli, is a man who saw tomorrow. We celebrate them for their vision.

Amani

According to the Bible, you just know your yesterday but not your tomorrow. The tomorrow is in the hands of God.
Let's vote for the man who saw yesterday according to God's Word.
It'll be very dangerous to vote for a man who is against the Word of God because he's a human being who knows nothing about tomorrow....!!!
 
Lisu hajielewi mkuu!

Unataka urais alafu unaenda zanzibar unahamasisha kuvunjika kwa Muungano.

Hapo hawezi kuungwa mkono na chombo chochote cha usalama.

Lisu sijui hata kama ana washauri.
Kuna taarifa kuwa helikopta iliishiwa mafuta ikatua kwa dharura kwenye shamba la mkulima mmoja huko Muheza Tanga. Hivi hawa CHADEMA wako siriasi kweli na usalama wa ambassador Lissu?
 
Back
Top Bottom