Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,886
ha ha ha ha watanzania vichaaHawa Jamaa kuna wanachokitafuta...niwaambie tu kwa maneno machache... "Be careful and watch it....kama mnadhani mna freedom ya kuandika chochote....not to that extent"
Ferd font
History made:Tanzanian athletics beat Kenya in world cross country in Uganda
Anajiita rais wa wanyonge lakini yeye ndiye kashikilia kamba ya kuwanyonga wanyonge kama askari magereza wa segerea.Jamaa alinikera pale alipozipiga mkwara TV kurusha habari za migogoro ya wakulima na wafugaji, halafu yeye ni rais wa wanyonge...Rais wa wanyonge hataki matatizo ya wanyonge yapewe airtime!!
Tanzania now is the richest economy in the world and will soon give aid to the US and the European Union worthy twenty trillion dollars..
Pole mkuu naona unasubiria meli kwenye kituo cha daladala za mwendokasiNAOMBA UFAFANUZI:-
JE, NI "VIWANDA"
AU
"VI-WONDER"?????
AMBAVYO TANZANIA TUNAONGOZA?????