Tundu Lissu: Tanzania yawa miongoni mwa nchi za G20, viwanda vyashamitiri ktk uongozi wa JPM

Lakini Tcra walikataza kuandika habari za uongo,huku Mkuu akitaka ziandikwe habari za sifa nzuri.sasa tumsikilize nani!!?
 
Kusema ukweli hata kama ni freedom of speech, hii ya tanzania ni too much, nielewavyo freedom of speech ni ile watu wanakosoa serikali kwa hoja na si matusi, kipindi hiki watu wamekuwa wakitukana badala ya kukosoa kwa hoja...namna hii tusitegemee sisi wapinzani kushika dola, unless tubadili namna tunavyoendesha siasa zetu..bila hivyo wacha raisi wangu awaweke tu ndani coz mnaonekana mnapenda sana kutafuta kiki kwa kuwekwa ndani...


OVER
 
Jamaa alinikera pale alipozipiga mkwara TV kurusha habari za migogoro ya wakulima na wafugaji, halafu yeye ni rais wa wanyonge...Rais wa wanyonge hataki matatizo ya wanyonge yapewe airtime!!
Ajabu sana ndugu yangu.. Inafika pahala mtu unastaajabu tu!
 
Back
Top Bottom