Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,775
Dr. Hassan Abasi alisema, namnukuu "sio vizuri kubishana na mgonjwa"
Kuna baadhi ya watu wamekasirishwa kwa hili walitamani kuona akirejea ili apigwe risasi live na wakiona anakufa.
Mioyo yenu imesinyaa kwa taarifa hii.