Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

Yaani hapo kutembea na jopo la mawaziri ni udhaifu mkubwa sana mkuu!! Inaonyesha hatoshi kbs, anaamua kujishikisha na mawaziri
Halafu amebeba begi limejaa noti! Sijawahi ona wala kusikia Rais wa nchi anatembea na mabulingutu ya noti na kuanza kuzigawa katika mikutano ya hadhara!
 
Upande wake tumesikia na dereva wake vipi kurudi au nae anahitaji ulinzi
 
Iko wazi tu, unapoanza kutafuta hifadhi katika nchi nyingine ni lazima uwe mpole tu!.
 
sababu aliyotoa ni ya hovyo na haina mashiko. Viongozi wake watawezaje kumhakikishia usalama wake wakati sio vyombo vya ulinzi na usalama
 
Kwa sababu anajua kuwa sio Magufuli na serikali yake ndiyo walio taka kummaliza.

Inatakiwa amwombe radhi Mzee wa watu kwa kumsingizia alitaka kumwuua. Vinginevyo dhambi itamsuta kwa kila atakacho fanya.

Mbaya wake yuko naye kila anakonkwenda. Mwuulize vizuri dereva wake, nun uhakika atakuwa anjua mipango yote kama sio yeye ndiye aliye taka kumwuua. Vinginevyo atakuwa yeye.

Lissu kwa kuto jua kwake anadhani Serikali ni chama. Serikali ni Mhimili na pia ni taasisi. Anatakiwa atambue hilo.

Arudi tu asiogope. Aaje aisaidie Serikali yetu katika kujenga uchumi wetu.

Sisi wote ni watanzania na tunajivunia utanzania wetu.

Naipenda nchi yangu na nawapenda watanzania wenzangu. Tuko poa na tutaendelea kuwa poa.
 

Nafikiri uko kwenye meli nyingine. Mambo yamesha kuwa wazi. Nani ni mbaya wa Lissu.

Mwuulize kwa nini anataka kuungana na Zitto Kabwe?

Ubunge amevuliwa kwa dharau hake mwenyewe. Alitaka kujionyesha kuwa yeye ni super man. Kitu ambacho hakukitambua ni kuwa yeye ni takataka tu jalalani. He has nothing to deliver.
 
Nani amhakikishie?

Chama chake au vyombo vya ulinzi asivyokuwa na imani navyo?

Zile kauli za "Narudi nyumbani kupambana" naona zimeisha,sasa anaongea uhalisia.
Alijaribu kubip akaona hata ujio wake tu hawapendezwi nao.
 
Kwa usaliti wake Mungu hawezi mbariki.

Ana isaliti nchi ya Nyerere na Karume na wazee wa Kale ambao wamepigania Uhuru, Umoja na Amani ya hii nchi?

Hawezi barikiwa bila kwanza kutambua na kuomba Radhi kwa Magu na mizimwi ya yetu.
 
Mkuu mimi pia huwa nikiona jinsi baadhi ya watu wanavyofurahia unyama aliofanyiwa huyu jamaa huwa najikuta namuogopa sana mwanadamu.
Nikiwaza alivyomharibia maisha lowasa namie naogopa hivyohivyo, yaani alimwita mwizi mchana kweupe Tena hadharani kumbe uongo tu,

Alitudanganya nchi in njaa kumbe uongo sumry anamahindi yakulisha nchi hi miaka mitatu,

Katudanganya acacia inamilokiwa sijui na kgb tutashitakiwa miga, alijimwambafy kwelikweli kumbe hamna kitu
 
Awamu hii ya tumepoteza tunu ya utu iliyoachwa na baba wa taifa na umoja wetu umepotea tayari.
Umoja na nani? Na Lissu? Yeye si ndiye aliyetukana sisi.

Alikubali kutumia na wazungu ili aokoe nafsi yake. Uroho wake wa madaraka umemwangamiza. Nina msikitikia sana!
 
Chifu kwani mwanzoni uliposema unarudi September 7 wasiojulikana walikua wamejulikana? Kabla ya wewe kusema utarudi hukujua kwamba Musiba kakutishia?

Mtu muongo Ni muongo tu, usituletee visingizio tunataka sababu, unajua tumekulea sanabna mauongo yako na sasa unaelekea pabaya.
 
Huyu jamaa ni kigeugeu kagundua kwamba wale aliodhani watamsapoti mmoja mmoja anaanza kujikataa.

Mwamba wa IPTL kanyosha mikono juu. Vita vimeisha unabaki msituni kufanya nini, ingia uraiani maisha mengine yaendelee.
 
I'm deeply saddened by the current existing worse situation in my country Tz.

Inasikitisha sana sana kupita kiasi kuona kuwa chuki ktk jamii ya Watz Ni kubwa sana KWA sasa kutokana na tofauti za itikadi za vyama vya siasa.Hali hii sijawahi kuishuhudia ktk nchi yangu niliyozaliwa. Chuki kubwa kabisa namna hii iliwahi kuwepo Nchini Rwanda na Burundi mnamo mwaka 1994 miezi michache kabisa kuelekea kwenye mauaji mabaya kabisa ya Kimbari ambayo yalizisambaratisha kabisa nchi hizo.It seems like the same situation is going to happen in Tz. Very sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…