Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

Hakuna Jambo limefanya niwachukie watz Kama ishu ya lisu ishu ya lisu imenifanya niwachukie Sana wenye mamlaka na praise power wait yani msemakweli na mtetea haki ya kidemokrasia mnamtwanga risasi mnampokonya ubunge halafu mnafurahia na kumkejeli ushetani ulioje?
You touched my feelings. Watanzania watu wa ajabu sana, labda ndiyo Mungu alijua uzwazwa wetu ndiyo maana akatuweka katika sehemu hii ya dunia. Inawezekana IQ ya Mtanzania ndiyo ya chini kuliko Waafrika wote.

Sikutegemea Tundu Lissu akejeliwe namna hii na watu wanajua kusoma na kuandika. Haihitaji uwe na PhD kujua kuwa Tundu Lissu ni mzalendo kuliko Magufuri.

Huhitaji vilevile uwe na kusoma cha ajabu kujua kuwa Magufuri ndiye aliyeagiza kikundi cha Bashite kwenda kumuua Lissu akiwa Bunge ni Dodoma mwaka 2017.

Mungu amemuepusha Lissu na kifo baada ya kumwagiwa risasi 37 kwenye gari lake na 16 kumdhuru. Mungu ana maana yake, sisi tuombe uzima tu na Magufuri naye awe mzima. Ila kuna siku na saa tusiyoijua Magufuri au Bashite watakuja kukiri kwa midomo yao kuwa ndiyo waliomshambulia Lissu. Na kuomba radhi kama ambavyo Michael Wambura amekiri wizi wa Tsh 100 Milioni za TFF.

Mungu siyo wa kudhihakiwa, Wagalatia 6:7
 
Maneno ya Tundu Lissu siku zote yanaonekana kuwa mepesi lakini kwa watu wenye uelewa watatambua kuwa Tundu Lissu hajawai kukosea katika comments zake. Huwa anaongea huku akifahamu fika impacts za kile anachokisema. Sasa usipokuwa makini unaweza kumwelewa kiwepesi wepesi tu wakati yeye akimaanisha matokeo makubwa mbeleni.

MUNGU AKUBARIKI TUNDU ANTIPAS LISSU
Ingekuwa hivyo asingepigwa na majambazi mpaka kulala kitandani miaka miwili.
 
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

Basi Tena. Mpaka hapo JIWE kashashinda, na wasiojulikana washashinda. Huwezi kuwa na mvuto wa kisiasa Kama haupo nchini. HAIWEZEKANI
 
Ropo ropo bila hekima ameshindwa kuwafariji wafuasi wake. Sasa amebadili gear angani.
Harudi tena,
Viongozi wake (chadema) wampe hakikisho la ulinzi.
Aliwadanganya wafuasi wake kuwa matibabu yanaendelea , kumbe Mzima wa Afya.
Mabeberu wanaliomfadhili wamemtosa anatafuta pa kutokea...anaonekana mpole hadi huruma.

Ushauri kwake , tubu dhambi zako uwe huru.
Samehe na futa yote.
Maisha yako hivyo.

Mwisho achana na siasa rudi kwenu na maisha yatasomeka..

Wenzako wakitoroka nchi , hutoroka na mapesa lukuki. Lakini wewe umejidunga bila hekima hii, tambua wazungu kwao ni pesa tu, kama huna ...utaiona ulaya chungu.
 
mfano alipomtukana Raisi JPM kuwa ni mjinga kwa kukamata makontena na kumtishia JPM kuwa atashitakiwa miga alikuwa ana point gani iliyohitaji kumwelewa?

Uumini
Kama Lissu alimtukana Magufuli kuwa ni mjinga, basi angefunguliwa mashtaka na siyo kupigwa risasi!!!

Ila kwa post yako nawe una unga mkono kuwa Tundu Lissu alipigwa risasi baada ya kumtukana Rais. Asante kwa ushahidi
 
Ndio mnajipa moyo kwa uongo wa kujitungia harudi Tanzania, huku mkijipa moyo eti soon atajiunga CCM aunge juhudi za yule bwana mkubwa alieanza #2020Campaign za uchaguzi mwaka huu 2019 (tena akiambatana na jopo la mawaziri wote).

Insecurity hio.
Katika mawaziri anaoambatana nao sijawahi kumuona Mahiga!!!
 
Nadhani katika kesi zinazomkabili je? Wadhamini wake itakuwaje, wajuzi wa sheria hebu mtujuze vyema hapo. Wazamini inawezekana kujivua udhamini na mahakama ikatoa amri ya mtuhumiwa kukamatwa au wadhamini watang'ang'aniwa kwa kushirikiana na mtuhumiwa kukwepa mahakama?
 
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

Sasa ubunge alikuwa anaunga'ngania kwa aioli ya Jimbo gani nje ya Tz
 
Usalama wa kiongozi kama Lissu na shughuli za aina yake katika nchi hii kwa sasa na pia madhila aliyopitia ni kipaumbele kikubwa akizingatia pia thamani ya maisha yake na familia yake ikiwa atadhurika kwa mara nyingine.Mungu alimpa nafasi ya pili as it was a miracle kuweza kusurvive ile dhahama ya risasi.Yeye amefikiri vyema sana.Kama hakuna aliekamatwa,kuhusishwa ama dalili ya kupatikana sio mtu au hata taarifa za mastermind wa ile attack then akirudi watashindwaje kummaliza tena this time wasifanye makosa kabisa? Stay where u are comrade.Familia inakuhitaji
 
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

Amtafute kazi huko aendelee na maisha yake

He can write books, be an activist or expert consultant kwenye Huma rights
 
Heheh...

Naona kasoma alama za nyakati, usifanye masihara na uhai...
 
utumie ushahidi kuandamana...
mdomo huponza kichwa
Kama Lissu alimtukana Magufuli kuwa ni mjinga, basi angefunguliwa mashtaka na siyo kupigwa risasi!!!

Ila kwa post yako nawe una unga mkono kuwa Tundu Lissu alipigwa risasi baada ya kumtukana Rais. Asante kwa ushahidi
 
Akihojiwa na Sauti ya Amerika kutoka Marekani, mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Zamani wa Singida Mashariki amesema hawezi kurudi tena Tanzania kwani wasiojulikana bado hawajapatikana.

Pia amesema ametishwa na mwandishi Cyprian Musiba kwenye mitandao.

Nilichopenda leo hajaongea kwa kufoka foka na mikwara km tulivyozoea labda ameanza kubadilika kimtazamo

Inasikitisha lakini nimefarijika kuwa angalao amejali usalama wake kwanza na kwa kufanya hivyo amewajali wanaomjali na kumhitaji. Kuwa risk conscious ni jambo zuri, nashukuru amefanya hivyo.
 
Back
Top Bottom