Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Jana ulikuwa unalalamika kuhusu kagenzi kuishiwa nguvu za kiume nakushauri utafute mwanaume mwingineHuna majibu
Utapata shida sana hilo jina la wachaga lisipofutika kichwani mwako ushabiki mbaya sana ukiulizwa kwa nini hujui kazi unayo mfuate a.c.t kama imekuuma kajitundike.
Nakujibu hoja #1 hizo nyingine hazieleweki sababu mimi sio mwanasheria.
" 1. Katiba za vyama zinasajiliwa na msajili baada ya kujiridhisha kuwa zinaendana na katiba ya nchi na ndiyo chama kinapata uhai."
Sijajua kama kweli wewe ni mwanasheria, hivi katiba inapotungwa, kuandikwa mpaka kufikia kutumika inamaana ipo correct 100%? Kama ni hivyo kusingekua na marekebisho ya vifungu au katiba husika. Maana yangu hata kama watajiridhisha vipi bado huenda kukawa na makosa ndani yake.
Barua ya kumvua uanachama iko wapi?
samahan masawe,kwa taarfa yako mi nilikua naunga mkono sana chdm ila uchaga ndan ya chama ndo umenifanya nitoe iman kabsa,haiwezekan hakuna mchaga aliewah kuadhibiwa ilhal wanamakosa lukuki
kuwa kwa msajili haina maana iko sahihi!!
Na wewe huu ndio uchambuzi wako katika jicho la kisheria?Sakaya la Zitto lilianza pale alipotia nia ya kugombea uenyekiti wa chadema, na tushukuru hadi leo yuko hai. R.I.P Chacha Wangwe.
Siku ambayo Chadema wanaota kutawala nchi nina uhakika mhimili wa MAHAKAMA hautakuwepo.Kwa kuwa katiba yao haitambui mahakama kama chombo cha kusimamia Haki.
chimwemwe67
Na wewe ni msomi? Hongera naona umetiririka kinoma msomi wa Eagle Collage of Management.
Ajira ni uhakika na kuongea kiingereza ni ndani ya siku mbili.
Hongera msomi.