Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,170
- 4,582
Haya maigizo yataisha na nchi itabaki salama.
Tanzania sio ya kujifunzia uhuni,Babu Mihogo Slaa kawatumia harafu kawatelekeza kama ndom ππ
Samia ni dhaifu ππKazi iendelee
Yule marehemu ni mfano mbaya kwa kila kiongozi ndio maana unaona anasemwa.Akikosea mama yenu, anasemwa JPM!
Kwa hiyo ukiandika kwa Kiingereza ndio unafikiri utaeleweka vizuri sio? Upuuzi mtupu.The Great Politician of all times has finally said something.
The International Community must intervene before it is too late.
Kumbe unajua!!Kwa hiyo ukiandika kwa Kiingereza ndio unafikiri utaeleweka vizuri sio? Upuuzi mtupu.
Huna aibu, bure kabisa!Huyu Lussu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.
Sasa international community wanaongea kimatumbi?Kwa hiyo ukiandika kwa Kiingereza ndio unafikiri utaeleweka vizuri sio? Upuuzi mtupu.
Nini?Kumbe unajua!!
Unafikiri hiyo "international community" yako imejikita hapa kila siku?π€£Sasa international community wanaongea kimatumbi?
Wewe Tanzania unaitakia mema gani? Watu wasikosoe?Huyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.