Tundu Lissu pasua kichwa

Tundu Lissu pasua kichwa

Kiongozi hawi bora kwa kufuata katiba na sheria, hivyo zilikuwepo na vitakuwepo tu. Uongozi ni maono.
Uliwaza wakati unaandika hiki unachoandika? Unajua huyo unayemwita kiongozi amekuwa kiongozi kutokana na katiba ambayo unadhani si lazima kuifuta?
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Unaumwa kichwa kapime malaria, typhoid au UTI
 
Lisu huyo !huyo nyuma ako 😂 😂 😂 Khebana cheki lijamaa lilivyoshituka lioga ilo liangarie.nikumbie kitu bro watu au raia wanataka fursa wataka pesa wanataka uhuru na hayo maendeleo unayosema sasa ukizuia moja au mawili kati hayo raia awawezi kukuerewa watakuona mnoko tu ataufanyaje binadamu atufanani bro
 
Back
Top Bottom