Tundu Lissu pasua kichwa

Tundu Lissu pasua kichwa

Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Alafu ukitoka hapa unalipwa buku 6 Lumumba mnachezea kodi zetu
 
Mimba yako kwa kweli inakupeleka puta bin resi
 
Magufuli mpaka 2050???

Really?

Hapo ndio nimekuona kiuno kabisa!
 
Mkuu mimi simkubali Lissu kabla ya 2015, baada ya uchaguzi mkuu 2015, na baada ya kushambuliwa kwa risasi.

Lakini kumuita Mh. Magufuli mtukufu sio sawa sawa. Hakuna binadamu mtukufu.

"Mtukufu Rais"
Hii salutation utakua unaugeni nayo au dini zinakuvuruga kichwanii..

Je Lord Mayor..nayo itakuvuruga..?!?
 
Wewe wakumpangia lissu? Wanasingida mashariki wataamua na sio mende mwingine yeyote
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Tanzania ya ubaguzi wa kikanda, uporaji wa muksanyo ya halmashauri kuelekeza Chato, utekaji watu, kuwapoteza, kuua, kuzuia shughuli za kisiasa za vyama mbadala, kusigina Katiba, kubambikia watu kesi; haya yana mwisho unaosimamiwa na Mungu mwenyewe. Tukutane 2020 Lissu anatosha
 
Katiba inafuatwa? Elezea kwa kuzingatia yafuatayo.

1. Uhuru kamili na mamlaka ya bunge
A) upangaji wa bajeti ......kweli bunge?

B) Uchambuzi na vipaumbele vya taifa na wahusika .......nani ?

2. Uhuru kamili wa mhimili wa mahakama
A) Sheria ya kuweka ndani watu 24hrs inafuatwa ? Toa vielelezo kwa mifano
B) Haki ya kuishi inatekelezwa ipasavyo toa maelezo ukizingatia yafuatayo
I . AZORY GWANDA
II. BEN SAANANE
III. ALPHONCE MAWAZO
IV. DAUD MWANGOSI
NK

3. Uhuru wa kutoa na kupashana habari
A) uhuru wa waandishi wa habari na vyombo vya habari
I. Bunge live ?

II. Kabendera ?

B. Mikusanyiko, Mikutano ya kisiasa, maoni nk

Please hebu tembea hoja kwa hoja kutushawishi.
Aisee limbukeni, mtukufu labda kwako na familia yako.
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
 
Katiba inafuatwa? Elezea kwa kuzingatia yafuatayo.

1. Uhuru kamili na mamlaka ya bunge
A) upangaji wa bajeti ......kweli bunge?

B) Uchambuzi na vipaumbele vya taifa na wahusika .......nani ?

2. Uhuru kamili wa mhimili wa mahakama
A) Sheria ya kuweka ndani watu 24hrs inafuatwa ? Toa vielelezo kwa mifano
B) Haki ya kuishi inatekelezwa ipasavyo toa maelezo ukizingatia yafuatayo
I . AZORY GWANDA
II. BEN SAANANE
III. ALPHONCE MAWAZO
IV. DAUD MWANGOSI
NK

3. Uhuru wa kutoa na kupashana habari
A) uhuru wa waandishi wa habari na vyombo vya habari
I. Bunge live ?

II. Kabendera ?

B. Mikusanyiko, Mikutano ya kisiasa, maoni nk

Please hebu tembea hoja kwa hoja kutushawishi.
Akirudi unitag....,
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Iliteracy rate ni kubwa mno, poor tanzania!
 
Back
Top Bottom