Tundu Lissu pasua kichwa

Tundu Lissu pasua kichwa

Wachana naye huyu mtu ni mgeni sana hapa jukwaani na kisa cha ugeni wake ni kutafuta upenyo wa teuzi
Hapa ni kama unaosha nyama na sabuni ya unga ukidhani ndio mtu ni afya.
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi, kila raja anahaki ya kukubali wafanyayo wanaotawala au kuyakosoa. Nchi hii haiwezi kuwa na watu wanaowaza kwa kufanana halafu mkadhani ni afya kwa nchi huo ni uzwazwa. Bila ya hawa wapinzani tusingejua mambo ya EPA au Escrow nakadhalika. Waacheni wapinzani watuonyeshe pale tulipojisahau au tunapokosea.
 
Pumbafu hata jinsi ya ...ku QUOTE mtu hujui mwiba wewe
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Timu kuabudu na kulamba miguu
 
Nilidhani kuna point kumbe uharo tu
 
Toa hizi takataka zako humu upeleke huko Lumumba you cretin.
 
Mleta hoja ni poyoyo kwani hatambui umuhimu wa katiba! Hatambui pia kama anayeongoza pamoja na chama chake kuwa hawana Dira na maono!
 
Rais amesema hataivunja katiba kwa kuongeza muda hata kidogo wa kukaa madarakani,
wewe mtoa mada U NANI hata utake kumfitinisha Mh Rais na watanzania????
 
Katiba inafuatwa? Elezea kwa kuzingatia yafuatayo.

1. Uhuru kamili na mamlaka ya bunge
A) upangaji wa bajeti ......kweli bunge?

B) Uchambuzi na vipaumbele vya taifa na wahusika .......nani ?

2. Uhuru kamili wa mhimili wa mahakama
A) Sheria ya kuweka ndani watu 24hrs inafuatwa ? Toa vielelezo kwa mifano
B) Haki ya kuishi inatekelezwa ipasavyo toa maelezo ukizingatia yafuatayo
I . AZORY GWANDA
II. BEN SAANANE
III. ALPHONCE MAWAZO
IV. DAUD MWANGOSI
NK

3. Uhuru wa kutoa na kupashana habari
A) uhuru wa waandishi wa habari na vyombo vya habari
I. Bunge live ?

II. Kabendera ?

B. Mikusanyiko, Mikutano ya kisiasa, maoni nk

Please hebu tembea hoja kwa hoja kutushawishi.
Mkuu hoja hizi zinaweza kujibiwa na MTU makini na si anayetumia makalio kufikiri.
 
Back
Top Bottom