Tundu Lissu pasua kichwa

Tundu Lissu pasua kichwa

Kiongozi hawi bora kwa kufuata katiba na sheria, hivyo zilikuwepo na vitakuwepo tu. Uongozi ni maono.
Hoja ya kipumbavu 100%. Kwa nini anaapa kuilinda na kuifuata katiba kama haina maana?
 
Instagram media - B1V3KCijua-.jpg
 
unajua kila kitu duniani ni jinsi unavokichukulia. wewe unaweza ukaona ukosoaji wake kama destructive ila kwa mtu anaetaka kujiimprove kila siku anachukua hio criticism anaifanyia kazi. CCM inabidi wamskilize Lissu anasema nini ili waweze kufanyia kazi hizo pointed areas. haiwezekani mke mdogo amsifie mke mkubwa wakati na yeye anatamani kuwa mke mkubwa. CHADEMA ni kama mke mdogo anaejaribu kupenetrate Ili ajiposition kwenye nafasi ya mke mkubwa.
mimi sioni kama kuna tatizo hapo zaidi ya changamoto, na demokrasia bila changamoto hamna kitu.
 
Anayeamini kile kiapo ni mjinga zaidi. Hata ndoa zina viapo na tunavunja kila siku.
 
Bado unaamini ktk viapo mkuu!
Sasa kama kiongozi hataapa' tutamuukumu vipi? Tutafahamu vipi ameenda kinyume kama atafuata maono bila katiba na kiapo? Kila anachofanya atasema ni maono yake.
 
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
Unatishia kujamba wakati una harisha futa mavi dogo
 
A Country is not a company
 
"Mtukufu Rais"
Hii salutation utakua unaugeni nayo au dini zinakuvuruga kichwanii..
Je Lord Mayor..nayo itakuvuruga..?!?
Bwana Meya na Mtukufu Maya, how does it sound?

Mnarudisha mambo ya zamani ya Daniel Arap Moi.
 
Endelea kijitekenya na kucheka mwenyewe
 
Nakuomba tafadhali weka namba yako haraka maana kuna uteuzi
Aliyekuwa mbunge wa Singida na mwanasiasa mwenye maneno mengi Tundu Lisu ambae Kwa sasa anauguza majeraha huko Belgium
Kutokana na shambulizi la risasi juu ya kile kilichotajwa kuwa ni watu wasiojulikana.

Tundu Lisu amekuwa mtu wa kukosoa tu kila juhudi zinazofanywa serikali hii na kujipendekeza kwa mabeberu
Mimi naona ni muda mwafaka wa yeye kutupisha kwenye upande wa siasa za Tanzania,

Mimi sijihusishi na siasa za upande wowote ni mzalendo lakin Kwa kasi ya bwana mkubwa huyu mwenye macho haambiwi tazama

Hii ni kampeni huru atupishe huyu mtu aa watu wa aina hii zama zimebadirika
#TanzaniaHuru
#Magufulimpaka2050
#Mtukufumagufuri
#Twenzetu
#Tanzaniabilarushwainawezekana
#Tulikuwawapi
 
Weka namba yako ya simu bado tunasubiri

Taifa lina Katiba na Sheria - Kiongozi bora ni yule anayeheshimu utawala wa Sheria. Tukutane Mahakamani 23rd.
Hakika mkuu ni lazima katiba iheshimiwe
 
Back
Top Bottom